Nsumba-ntale
Member
- May 24, 2026
- 15
- 80
Taarifa za ndani ya viunga vya mteuzi zinaeleza, bwana January Makamba ambaye ni Waziri wa zamani hivi karibuni atateuliwa kuwa Balozi
Vilevile, Nape Nnauye inatarajiwa atateuliwa awe Waziri wa habari kwa awamu nyingine na atasaidiwa na Simai. Wizara ya michezo itakuwa Wizara kamili na Mwijuma almaarufu mwana FA, rasmi atateuliwa awe Waziri wa Wizara hiyo
Paul Makonda atahamishiwa Wizara nyeti inayoongozwa na mwanamke ambaye inatarajiwa atatenguliwa kwa sababu ya ukaribu wake na Yuda
Mda ni mwalimu.