Kete ya Dkt. Nchimbi itawateka wajinga

Kete ya Dkt. Nchimbi itawateka wajinga

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,635
Reaction score
58,276
Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa

Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea.

Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi.

Sasa wanatengeneza Jambo ambao litakuja kuwa Kama lile la......

1: Kikwete atishia kujiunga chadema Kama atakatwa 2005.

2: Magufuli ataka kujiuzulu kama wazuri wa ujenzi

3: Samia ataka kujiuzulu kama makamo wa rais azuiwa na Kikwete.

4: Mwinyi ajiuzulu Kama waziri wa mambo ya ndani.

Hawa wote badae walikuja kuwa Marais na wakaendeleza mfumo ule ule wa CCM pengine wengine kuwa makatili zaidi.

Huyu NCHIMBI anaandaliwa kwa usitadi mkubwa kuja kuwa rais aliyechaguliwa na watanzania wajinga.
 
Tumeshastukia huo mchezo na tunawaamsha waliolala. Jana Lema kaleta huo upuuzi wa Nchimbi aondoke ccm na kujiunga CHADEMA, amepewa ukweli wake ana akaambiwa asitegemee ule upuuzi wa kumpokea Lowassa utakubalika safari hii. Ni hivi, hakuna mwanaccm atapata promo tena kama mtetezi wa wananchi. Wajinga tunaenda kuwaamsha.
 
Tumeshastukia huo mchezo na tunawaamsha waliolala. Jana Lema kaleta huo upuuzi wa Nchimbi aondoke ccm na kujiunga cdm, amepewa ukweli wake ana akaambiwa asitegemee ule upuuzi wa kumpokea Lowassa utakubalika safari hii. Ni hivi, hakuna mwanaccm atapata promo tena kama mtetezi wa wananchi. Wajinga tunaenda kuwaamsha.
Na wajinga wanaamka kweli kweli!
 
Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa

Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea.

Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi.

Sasa wanatengeneza Jambo ambao litakuja kuwa Kama lile la......

1:Kikwete atishia kujiunga chadema Kama atakatwa 2005.

2:Magufuli ataka kujiuzulu kama wazuri wa ujenzi

3:Samia ataka kujiuzulu kama makamo wa rais azuiwa na Kikwete.

4: Mwinyi ajiuzulu Kama waziri wa mambo ya ndani.

Hawa wote badae walikuja kuwa Marais na wakaendeleza mfumo ule ule wa CCM pengine wengine kuwa makatili zaidi.

Huyu NCHIMBI anaandaliwa kwa usitadi mkubwa kuja kuwa rais aliyechaguliwa na watanzania wajinga.

Nimependa mawazo mbadala...ingawa ya mbeleni, ni siri yake maanani
 
HAKUNA CHA KETE HAPO, CCM NI WAJINGA NA WAPUUZI SANA HAPO WAMESHAANZA VITA YA 2030.

HAPO KUNA :
NCHIMBI
MWIGULU
WAZIRI MKWE MCHENGERWA
MAKONDA NA YEYE YUMOOO
hii vita ni ya kufa mtu tuagize tu popcorn za kutosha
Duuh,
Ukiondoa huyo Yuda, hao wengine hawafai hata kufikiria tu. Sijui kwanini nchi imekuwa kama kichwa cha pimbi !!
 
Hii kete ya NCHIMBI Itawateka wajinga na watu wasiojua siasa

Idara ya usalama wa taifa ambayo ipo compromised na magenge ya CCM sasahv wanawaza mtu wao wa kurithi kitu Cha urais kuanzia Sasa ikiwa Jambo lolote litatokea.

Wanajua huyu mama asafishiki, huyu hana tena ushawishi.

Sasa wanatengeneza Jambo ambao litakuja kuwa Kama lile la......

1:Kikwete atishia kujiunga chadema Kama atakatwa 2005.

2:Magufuli ataka kujiuzulu kama wazuri wa ujenzi

3:Samia ataka kujiuzulu kama makamo wa rais azuiwa na Kikwete.

4: Mwinyi ajiuzulu Kama waziri wa mambo ya ndani.

Hawa wote badae walikuja kuwa Marais na wakaendeleza mfumo ule ule wa CCM pengine wengine kuwa makatili zaidi.

Huyu NCHIMBI anaandaliwa kwa usitadi mkubwa kuja kuwa rais aliyechaguliwa na watanzania wajinga.
Sie wengine na TAL!
 
Hili lilotokea wala sio kete wala nini, kwa mwenye akili timamu anajua mnyukano wa wao kwa wao kuelekea 2030.....!!.

Huko ccm hawaaminiani... Hizo habari za nyuma ulizoleta haziendani na hii ya sasa, hii ya Nchimbi ni sawa na ile ya Lowassa kuangushiwa jumba bovu ili kumtoa kwenye njia. Hakuna promotion ya mtu kuitwa MSALITI WA SERIKALI NA NCHI!.
 
Back
Top Bottom