Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania, mmelala? Mimi sijalala hadi sasa! Hii si leo, hii si kesho – hii ni vita ya maisha na uhai wangu! Niko hapa peke yangu, njaa inaungua ndani yangu, sina chochote kinywani, wala sijui...
24 Reactions
157 Replies
3K Views
Mtu unatamaa ya madaraka mpaka unaiba kura halafu unakufa kabla ya hata kustaafu. Maisha ni mafupi unaiba kura na miaka 70! Eti halafu hujapumzika hata na familia yako. Ufisadi wote na wizi wote...
2 Reactions
0 Replies
97 Views
Katika awamu ya sita, wanasiasa watatu waandamizi wamekufa kwa 'mstuko wa moyo' au kuugua ghafla Alianza Job Ndugai. Alifuata Jenista Mhagama. Na sasa Wiliam Lukuvi. Je, walikuwa wanaugua kwa...
0 Reactions
3 Replies
146 Views
Za ndani kabisa Waziri William ndiye kiongozi pekee ambaye hakuwahi kupishana na JPM. Ndiye Waziri pekee aliyekuwa na uwezo wa kumshusha munkali JPM duru 'zinatabanaisha.' Wakati fulani...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa...
28 Reactions
136 Replies
14K Views
"The Voice of the People: A Divine Mandate for Leaders – A Message to Mama Samia" Key Scripture: Proverbs 29:2 – “When the righteous are in authority, the people rejoice; but when a wicked man...
1 Reactions
2 Replies
446 Views
Kweli hakuna mwenye hati miliki na siasa za Tanzania. Haijalishi ulikuwa maarufu kiasi gani, mfumo ukiamua kukutema unakutema tu bila hata kukusukutua. Check tu hawa wanasiasa:- Ezekiel Maige...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
Kwa mfano Prof Kabudi, mh Lukuvi nk wamerejeshwa na Nape Nauye, Angela Kairuki, January Makamba nk walirejeshwa na sasa wametumbuliwa tena Kuna Siri gani katika kuwaamini Mno Watendaji wa Shujaa...
3 Reactions
60 Replies
3K Views
Wakuu, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameitaka Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu kuandaa Daftari la Faida litakaloonesha kazi na shughuli za...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda katika kuhamasisha utengenezaji wa filamu zinazoitangaza Tanzania.
0 Reactions
19 Replies
651 Views
Kwa utamaduni wa ccm mtu akishahudumu kwenye nafasi kubwa kama waziri mkuu, spika, makamu wa rais, vyeo hivyo vitamtosha hadi atapostaafu. Pia kuna utanaduni wa kubadilisha marais kwa dini...
6 Reactions
28 Replies
935 Views
WAZIRI MKUU ATOA SALAMU ZA POLE KIFO CHA WILLIAM LUKUVI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwigulu Lameck Nchemba, akiwa katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano Arusha (PICC)...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema ameshtushwa na kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), William Lukuvi kwani walizungumza jana na...
3 Reactions
19 Replies
532 Views
Naona sasa kama imekuwa slogan ya kuwakashifu wanaCCM wanapofariki Hii kauli sio kauli ya wana CCM wote Sitetei juu ya alichosema mwenyekiti wa CCM Lakini isiwe sababu ya kuwahukumu wote...
7 Reactions
48 Replies
770 Views
Tatizo kubwa CCM haijiamini kama Chama tena! ndiyo maana wanatumia dola . Yaani wameshidwa kushindana kwa hoja za maendeleo na makada na viongozi wengi hawana vipaji vya kushinda kwa hoja. Kingine...
1 Reactions
2 Replies
127 Views
Mahakama ya Rufaa, iliyoketi jijini Dodoma jana ilipata maelezo kutoka kwa mawakili wa wadawa kuhusiana na marejeo ya shauri la madai Na. 8323/2026 shauri la msingi, pamoja na Maombi madogo namba...
1 Reactions
9 Replies
318 Views
Wakati napata kahawa nyeusi nikijiandaa kupata usingizi wa usiku, ghafla nikawaza ndugu johni ilisemwa ni moyo. Lakini pia benyamini, jobu, wiliamu, kwandikwe, dugulile, kleopa na hata yule mama...
2 Reactions
8 Replies
272 Views
Katika hali isiyo ya kawaida, Kwa kauli na mienendo yake ya hivi karibuni, Anna Tibaijuka ameonesha wazi kukosa haya kwa kiwango cha kutisha, anafanya mambo ambayo hata mtoto mdogo hawezi kufanya...
1 Reactions
26 Replies
514 Views
Hayupo, hana uwezo au viongozi wa Chadema masalia hawamuamini? Kulikoni viongozi wa Chadema masalia ndio wanabwabwaja zaidi mambo ya kisheria zaidi ya mwanasheria mwenyewe? Kama yupo, sidhani...
2 Reactions
40 Replies
474 Views
Mkuu wa Wilaya ya Monduli, Festo Kiswaga, ametangaza rasmi nia yake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Isimani, mkoani Iringa, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Akizungumza na waandishi wa...
5 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom