Urusi imeshidwa kutetea Syria na Venezuela hata Tanzania watashidwa. Ni ujinga na maono yasiyo na tija kufikiria Urusi ambayo imetekeleza marafiki zake hata wale waliokuwa wana nunua silaha kutoka...
"Waheshimiwa wabunge, kuna kundi lingine la utoro ndani ya bunge. Mtu anakuja asubuhi, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani kwake. Anakuja jioni, ana-verify, anaondoka na kwenda nyumbani...
Pamoja na kuwa Tanzania ina haki ya kuwa na mahusiano ya kirafiki na nchi yoyote duniani kwa kadri inavyowezekana, kwa maoni yangu safari ya kuelekea Moscow imefanyika katika wakati ambao si...
Mheshimiwa Rais Vladimir Putin mnadhani hajui kilichotokea Oktoba 2025 lakini jibu ni simple tu. UKweli ni Kilichotekea ni sheria imefanya kazi yake na ndiyo maana kaungwa mkono na Mheshimiwa Rais...
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania, IGP Camillus Wambura, amesisitiza kuwa askari polisi na wananchi si makundi mawili yanayopingana bali ni sehemu ya jamii moja inayotegemeana, ambapo amri ya...
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Juni 5, 2026 akizungumza na wakazi wa Isimani, Mkoani Iringa ametoa wito kwa watumishi wa umma kutangulia utu pale wanapohudumia wananchi.
Mwigulu amesema...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kinasikitishwa na vitendo vya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu vinavyofanywa na jeshi la polisi dhidi ya wananchi wa kata za Idukilo, Mondo...
Hapa Nchini aliyepo juu ya Sheria ambaye tumesikia mara kadhaa anafanya atakavyo ni 'mmoja' tu!
Hakuna Mwingine mwenye jeuri ya kumtisha Kamishina wa madawa ya kulevya.
Halafu Polisi...
Ndugu zangu Watanzania,
Tusipokaa sawa na kuwa makini na waangalifu tutajikuta tunajenga Taifa ambalo vijana wake muda wote na mwingi wanajadili Majungu ,Umbeya ,Uzushi ,uongo ,upashikuna na...
Diwani wa Kata ya Kariakoo na Mtangazaji wa Wasafi Media ambaye pia ni Msemaji wa Timu za Taifa zote, Haji Sunday Manara amesema;
"Alafu kuimba wanasiasa kwa Afrika, huu ni utamaduni wetu!"...
Kama Joshua Maponga ana ushawishi na Akili Akashugulike na Matatizo ya Nchi yake Zimbabwe iliyokufa kiuchumi ya Tanzania atuachie wenyewe.
Ukisikiliza kwa makini obviously amepangwa kuongea...
Bunge la Ulaya limepitisha azimio la kusimamisha msaada wa maendeleo wa takriban Euro 156M (zaidi ya TZS bilioni 440) kutokana na masuala ya ukiukwaji wa haki za binadamu, kukosekana kwa utawala...
Mimi naona lilikuwa jambo la kichama zaidi na kutakiwa kuwasilishwa kwenye vikao vya chama. Ila Simai ana hoja ingawa alitumia platform isiyo sahihi. Kwa aliyoongea ni wazi italeta maneno mengi...
Kupanda kwa bei ya mafuta kuna athari kubwa kwa uchumi wa wananchi na taifa kwa ujumla. Mafuta yanapopanda, gharama za usafiri, chakula, uzalishaji na huduma mbalimbali huongezeka. Hata kama kuna...
Anaandika Gulatone Masiga
Katika siku za karibuni, ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hassan, nchini Urusi imeibua mijadala mbalimbali kuhusu mwelekeo...
Kama kukaa mahabusu amekaa vya kutosha huyu TAL ni mtu mwenye familia tunaomba HAKI itendeke kama ana makosa basi sheria ifuate mkondo wake.
Imetosha kueni na huruma hii dunia tunapita walikuepo...
Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amejinasibisha na kusisitiza kuwa na mamlaka ya kiungu akiwa kama daraja la kipekee la kiroho linalounganisha ulimwengu usioonekana wa...
Maofisa utumishi wengi hasa ngazi wilaya na halmashauri wananyanyasa watumishi.
Wanaonea wivu na kuwanyanyasa kana kwamba ni watumishi wao wa ndani
Watu wanabaniwa kupanda madaraja kwa chuki...
Rais Samia na serikali yake wanapoteza muda na rasrimali bure tu huku wakipita njia ndefu kujaribu kuficha makosa na maovu waliyoyatenda. That won't work..! 😕 😔
Dhambi haiondoki kwa kuificha au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.