Rais wa Zanzibar aagiza Meli zote za Serikali ziuzwe kwa vile hazileti faida

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,641
218,091
Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .

Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
 
Meli za Azam Fast Ferries, Flying Horse, Zanzibar One zinatusua pesa ila za SMZ hasara tupu??

Does it stick in mind?
 
Kafanya maamuzi ya maana sana na hasara ya hiyo kampuni nadhani si kubwa sana kama hasara ya ATCL ya 354 billions tangu 2016 na madeni ya 473 billions. Mwambie amiri jeshi mkuu Mwigulu Nchemba auze ndege zote za ATCL ili kuokoa pesa za walipa kodi. Ataanza kubwabwaja ujinga wa kumuenzi dhalimu mwendazake blah blah blah.

Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .

Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?
 
Kafanya maamuzi ya maana sana na hasara ya hiyo kampuni nadhani si kubwa sana kama hasara ya ATCL ya 354 billions tangu 2016 na madeni ya 473 billions. Mwambie amiri jeshi mkuu Mwigulu Nchemba auze ndege zote za ATCL ili kuokoa pesa za walipa kodi. Ataanza kubwabwaja ujinga wa kumuenzi dhalimu mwendazake blah blah blah.

Noma sana !
 
Hussein Mwinyi ambaye ni Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ameagiza meli zote zinazomilikiwa na serikali hiyo ziuzwe kwa vile zinaleta hasara , ameagiza ziuzwe ili WAANZE UPYA .

Cha kushangaza sasa ! serikali ya Muungano yenyewe inaendelea kununua ndege huku zikileta mabilioni ya Hasara hadi kamati ya bunge imepigwa na bumbuwazi ! Je lengo lao ni nini ?

Zanzibar kuna wenyewe ila Muungano tuna shamba la bibi.

Haikuwahi kutokea dreamliner, Boeing au hata Fokker friendship, au ndege ya ATC au ATCL kuwa ndege rasmi ya rais katika awamu yoyote isipokuwa hii.
 
Back
Top Bottom