Mwananchi: Dhahabu ya bei mbaya yaibwa, vigogo matatani

Elitwege

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
5,154
10,809
Gazeti la mwananchi toleo la leo limeripoti upotevu wa dhahabu ya bei kubwa hivyo kupelekea vigogo kadhaa wa madini kuingia matatani.

My take.
Enzi za kuzaliwa kwa mabilionea wa madini kama akini Laizer ndiyo zimefikia mwisho? Au kazi iliyofanywa na Lisu kwa miaka 6 (tutashitakiwa MIGA) Imeanza? Kwa hiyo huko aliko Lisu sasa hivi meno yote nje kwa furaha?
20210905_112154.jpg
 
Wanagenzi nijuzeni tofauti kati ya kuibiwa , kuibwa na kutoweka.
Asanteni.
Kuibiwa na kuibwa hakuna tofauti, ni maneno yenye maana moja Ila yanatumika kwenye mazingira tofauti.

KUTOWEKA hii maana yeke no tofauti na kuibiwa / kuibwa. Ni Ile hali ya kupotea kwenye mazingira ya kawaida bila kuonekana umeenda uelekeo gani.
 
Hiyo issue naijua na hilo gazeti limeandika heading ya kimkakati wa masoko zaidi kuvutia wanunuzi lakini kihalisia wahusika waliokamatwa wala sio vigogo ni visisimizi tu.
 
Kuibiwa na kuibwa hakuna tofauti, ni maneno yenye maana moja Ila yanatumika kwenye mazingira tofauti.

KUTOWEKA hii maana yeke no tofauti na kuibiwa / kuibwa. Ni Ile hali ya kupotea kwenye mazingira ya kawaida bila kuonekana umeenda uelekeo gani.
Kuibiwa ni hali ya mtu kuchukua Mali ya mwingine bila idhini yake lakini kuibwa ni mtu moja kumchukua mwingine kwa nia ya kumteka.
Kutoweka ni hali ya kitu au mtu kutokuonekana bila taarifa yoyote.
 
Back
Top Bottom