Gen. Mboma ajaribu kugombea, aangushwa!

Huyu mzee angepumzika tuu maana hiki kipindi si kizuri kwake, watamchafua. siasa mbaya sana,
 
Anaweza kushinda japo I wish he loses.Fedha za Meremeta zitamsaidia sana kwenye kampeni yake.
 
Huyu mzee vyeo vyote alivyopata na kuzichanga kote kule jeshini bado hajatosheka.Kweli madaraka matamu.Ifike mahali na sisi wananchi tujiwekee vigezo vyetu kwa watu tunaotaka watuwakilishe na siyo sifa tu za vyama vyao manake sasa naona ubunge umeingiliwa!
 
Next time, msishangae kusikia Jaji mkuu mstaafu Barnabas Samata naye amejitosa kwenye ubunge kupitia CCM. Then, mwenyekiti mstaafu wa tume ya uchaguzi, former msajili wa vyama vya kisiasa, the list goes on and on and on........This recycling is too much.
 
Maskini dili zake zote sasa zitaletwa hapa!! Angeuchuna tuuu...kimyakimya...
 
Huyu mzee angepumzika tuu maana hiki kipindi si kizuri kwake, watamchafua. siasa mbaya sana,


Una maana kwa sasa ni MSAFI..are you serious?



Gen Mboma anaingia kwenye siasa ili kujilinda na maovu yake ya nyuma. Wanajeshi wote wasio waadilifu sasa na waliostaafu; wako nyuma yake. Kwa sisi walala hoi hizi ni dalili njema kwamba kweli hawa watu hawana amani huko uraiani. Katika mafisadi wote, imefikia sasa HATA MBONA hana amani uraiani ni dalili nzuri kwa Taifa.
 
ya'll missing the whole point!

Mwanakijiji hapa ndipo unapo-nibore (Mama) sometimes. Sasa kama unapoint unayokusudia, iweke hapa basi. Unategemea nani atakuwa anaread-your mind au kuanza kuwaza kwa misuli mingi analokusudia Mzee Mwanakijiji?
K.I.S.S.S
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom