Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mozambique President Filipe Nyusi on Tuesday announced that the country's armed forces, with the help of Rwanda and the Southern African Development Community (SADC) forces, have reclaimed nearly...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Siku zote mara baada ya uteuzi, viongozi huwa wanaapisha. Na wakishaapishwa mmoja mmoja kuna kiapo kingine, wenyewe huita ahadi ya maadili huwa wanakiimba wote. Lakini ukiisoma ahadi hiyo kifungu...
0 Reactions
1 Replies
862 Views
Tanzania haihitaji watu wengi kwenye bunge. Kinachohitajika ni mawazo sio wingi wa wabunge bungeni. Huwa nafundisha kila siku na nitaendelea kufundisha kwamba dunia huongozwa na mawazo...
20 Reactions
50 Replies
5K Views
Salaam Tuongelee Siasa za CCM. Je, nani ana ubavu wa kusambaratisha Mtandao wa Kisiasa wa January Makamba? Kwanza anaijua Tanzania kuanzia Kazulamimba hadi Nangurukuru. Rais wangu Samia anaijua...
14 Reactions
152 Replies
17K Views
Kwanza Kabisa nichukue muda kidogo kumshukuru Mwenyezi Mungu , mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuamka salama , sema Amina . Baada ya utangulizi huo wa kiroho nafurahi kukufahamisha kwamba Chama...
8 Reactions
46 Replies
6K Views
Mheshimwa Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekutana na Kufanya mazungumzo kwa wakati tofauti na Mhe Rais Salva Kiir na Makamu wa Rais Riek Machar wa Sudani Kusini mjini Juba leo Rais Kiir amekua Rais...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Hakika dhana ya kuwa wabunge ni watetezi wa wananchi binafsi siioni kabisa. Isitoshe pia kusema sioni bunge kuibana serikali zaidi ya kuipongeza. Huu ni mwaka wa 6 toka toka serikali ya awamu ya...
2 Reactions
12 Replies
862 Views
Kwanza nikupongeze mzee wangu kwa uteuzi wako naamini Mungu hamtupi mja wake. Mwisho nimefurahi kuona umeanza kukimbizana na TANROADS kuhusu kiwango cha lami. Ukipata muda asubuhi nenda na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Members, Leo nimekutana na kijana aliyesoma udsm amechoka kukatwa asilimia 15 % kwenye Gross Salary yake kulipa deni lake la mkopo wa wanafunzi(HESLB) Amebakiwa na deni la Milioni...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limewajengea uwezo Wasindikaji na Wajasiriamali Mtwara kuhusu viwango katika bidhaa zao Na Mwandishi wetu Mtwara Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limetoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauliza tu kwa upole kuhesabu watu na kutengeneza Katiba Mpya kipi bora kwa watanzania wa leo? Maana sielewi ni nini kipaumbele cha CCM na Serikali yake. Pia soma > Serikali iachane na sensa...
4 Reactions
34 Replies
3K Views
TANGAZO MUHIMU KWA WATUMISHI WOTE Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino mnatangaziwa kwamba Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atazindua Zoezi la Sensa kitaifa tarehe 14...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Shule za sekondari zinazomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa CCM zimeanza kufungwa na kubaki kuwa mazalia ya wadudu, baada ya wananchi kwa umoja wao kuzigomea kupeleka watoto kusoma humo. Hii ni...
14 Reactions
20 Replies
5K Views
IGP Sirro amesema jeshi lake litaanza kukagua yale yanayofundishwa kwenye nyumba za ibada. Chanzo: Swahili times My take; Baadhi ya nyumba za ibada huzalisha magaidi kwa kufundisha kareti. ===...
19 Reactions
201 Replies
17K Views
Ni ukweli kwa 100%, ni vigumu sana kumwunga mkono jambazi akisema kuwa ujambazi ni mbaya. Lakini ukweli hautabadilika kuwa alichosema jambazi ni sahihi ingawa yeye mwenyewe hakiishi. Kuna kauli...
3 Reactions
29 Replies
3K Views
SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LIMEFANYA ZOEZI LA UKAGUZI WA UBORA WA BIDHAA MBALIMBALI WILAYANI KASULU-KIGOMA Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeendelea na mpango wa ukaguzi wa kushtukiza...
0 Reactions
0 Replies
941 Views
Ni Mbunge wa Muheza, Hamisi Mwinjuma ambaye ni mkazi wa Upanga Dar es Salaam. Inasemekana yuko katika hali nzuri ===== MBUNGE wa Muheza, Hamis Mwijuma maarufu kwa jina la Mwana FA (CCM) amepata...
6 Reactions
53 Replies
8K Views
Baada ya Rais Samia kutupunguzia Tozo za miamala na kusimamisha ongezeko la bei ya petrol binafsi nampongeza sana. Nichukue fursa hii kumuomba asituchoke kwa sababu hatuna kimbilio lingine zaidi...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Mtangazaji wa kipindi cha Agenda kinachorushwa na Star tv Aloyce Nyanda amesema Muongoza filamu ya Royal Tour nchini ni muisrael na ameshawahi kufanya kazi na Rais Paul Kagame wa Rwanda na...
7 Reactions
44 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…