Kwa dhati kabisa naomba nichukue nafasi hii kwa niaba ya Chama changu kuipongeza Serikali kwa hatua hii ya kuwafikisha Mahakamani Watuhumiwa wa Sakata la Escrow kama ilivyoazimiwa na Bunge...
Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo.
Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula...
Nashauri mchakato wa katiba mpya uanze January 2026 (umalizike October 2028), lakini tume ya katiba mpya iundwe January 2022.
Tume huru ya uchaguzi ipatikane October 2023 (miaka miwili kabla ya...
Manufaa ya ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami itakayo unganisha Karatu na Mwadui moja kwa moja kupitia kaskazini mwa ziwa Eyasi (via Maswa Game reserve).
1) Itaongeza utalii kanda ya ziwa na...
Katika kipindi cha maswali na majibu leo bungeni Mh Chaurembo amehoji kwanini tamisemi isipitie upya uamuzi wa jiji la Dar es Salaam kuvunjwa bila vikao vya madiwani.
Pia amehoji mgawo wa mali za...
Mwl.JK.Nyerere ktk moja ya hotuba zake kuhusu Chama gani au Nani anafa kuchaguliwa kuwa kiongozi alituasa wana wa nchi ya Tanganyika kuto wachagua watu walio filisika SERA.
Nyerere anasema watu...
mambo yamekua mazitokupita kiasi, mpaka sasa vituo vya afya vilivyopo havina watumishi wa kutosha achilia mbali zile zahanati za vijijini ambazo unakuta zina muhudumu mmoja mmoja akipata dharula...
Mwaka 1967 Serikali, kupitia Wizara ya Elimu ya Taifa ilianzisha sera ya kuwa na shule ambazo zingechukua wanafunzi wenye vipaji, waliofanya vizuri na kupata alama za juu kwenye masomo ya...
Urais ni siku zote ni kubeba majukumu, Urais ni uwajibikaji, Urais nikutoa huduma kwa watu. Hakuna namna Urais utakosa kutupiwa lawama hata kama utafanya mazuri mengi kiasi gani.
Tatizo la...
Habari,
Kama taifa ni vyema tukaishi kwa misimamo thabiti. Ni vizuri tukaanza kuwajibishana bila kuoneana aibu ili kuleta fundisho kwa vizazi vya sasa na vile vinavyokuja.
Napendekeza viongozi...
Friends and Our Enemies,
Hakuna mwalimu bora wa kipind chote kama muda,muda tokea zama na zama umekuwa ni mwalim shupavu Sana ambae anaweza kutoa elimu ambayo ikaeleweka kwa kila mwenye akili...
Hoja hii ilianzishwa wakati JF ikiwa katika matengenezo hivyo tunairejesha kwakuwa haikurejea kikamilifu:
Jana nilikuwa Shinyanga nikaona VX v8 yenye usajili NW NM (M) kuangakia kwenye gari kaka...
Siku chache kabla ya kutenguliwa kwa uteuzi wa ndugu Faustine Ndugulile na Merdad Kalemani, tulishuhudia Wizara zao zikiingia makubaliano ambapo TANESCO walikubali kutumia miundombinu yao...
Akihutubia wakazi wa Tinde huko Shinyanga, mgombea Urais wa Tanzania kupitia CCM amesisitiza wananchi kutomchagulia wagombea wa Vyama vya Upinzani hata kama wanafaa. Amedai kuwa wamchagulie...
Rais Samia amewaambia kusanyiko la wanawake kuwa Rais mwanamke aliyepo, yaani yeye hajapatikana kwa kuwekwa na wanawake bali kwa kudra za mwenyezi Mungu. Anasema, Uchaguzi ujao inabidi wanawake...
FACTS:
1. James Rugemalira alikuwa anamiliki 30% ya IPTL kupitia kampuni yake ya VIP. Asingeziuza hizo hisa, mpaka leo angekuwa bado anamiliki 30% ya IPTL KIHALALI kabisa, hivyo kuwa mbia mwenza...
Kwa jinsi upepo unavyoenda wale wanyonge wa awamu ya tano changamkeni na komaeni maana mshaambiwa YATIMA HADEKI.
Kalipieni umeme fasta muda si mrefu tunarudi tulikotoka. Hata ule mradi wa JHHP...
Kabla ya Mbowe kusomewa mashtaka, watu waliipa Jamhuri "benefit of doubt" kwamba huenda ina ushahidi wa maana. Watu wakahisi labda Mbowe ana uhusiano na makundi ya kigaidi kama Al Shabab, Al...
Ni takribani mwaka mzima sasa tangu tutangaziwe kwa mbwembwe sana mabadiliko ya mikuu wa mikoa.
Miongoni mwa waliotenguliwa ni mkuu wa mkoa wa morogoro Dr Rajab Rutengwe.
Rais alituambia...