Hivi ni nani waliokuwa nyuma ya kashifa alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati rais Magufuli?

troiker

JF-Expert Member
Aug 18, 2019
425
1,000
Nikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.

Mbowe alishangiliwa sana na wafuasi wake ,na waliomtuma cha kuongea.

Hakika malipo ni hapa hapa duniani,naye anadhalilika jela na hajajua mwisho wake ni upi hapa duniani, kiukweli hakuna ajue atamaliza kwa heshima au kwa dharau.

Je Mbowe alipima kauli zake dhidi ya hayati Magufuli?, akijua marehemu kamaliza mwendo na asingeweza kujitetea,je?,tukisema Mbowe alipanga kuipa maumivu familia ya hayati na jamaa zao nitakuwa nimekosea?
Watanzania ,mdomo huponza kichwa.siku zote, mabalaa vilevile unaweza jiletea mwenye kwa kupenda .
Namtakia Mbowe maisha mema na marefu apate kujifunza hii dunia jinsi ilivyoitwa na wahenga kwamba ni uwanja wa fujo
 
nguruka wa kig0ma

JF-Expert Member
Jan 16, 2020
2,765
2,000
Nikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.

Mbowe alishangiliwa sana na wafuasi wake ,na waliomtuma cha kuongea.

Hakika malipo ni hapa hapa duniani,naye anadhalilika jela na hajajua mwisho wake ni upi hapa duniani, kiukweli hakuna ajue atamaliza kwa heshima au kwa dharau.

Je Mbowe alipima kauli zake dhidi ya hayati Magufuli?, akijua marehemu kalimaliza mwendo na asingeweza kujitetea,je?,tukisema Mbowe alipanga kuipa maumivu familia ya hayati na jamaa zao nitakuwa nimekosea?
Watanzania mdomo huponza kichwa siku zote,na mabalaa vilevile unaweza jiletea mwenye kwa kupenda
Namtakia Mbowe maisha mema na marefu apate kujifunza hii dunia jinsi ilivyoitwa na wahenga kwamba ni uwanja wa fujo
Kwakuwa hamna akili hamjiulizi kwanini chuki imetamalaki ktk nchi hii

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
tweenty4seven

JF-Expert Member
Sep 21, 2013
13,579
2,000
Nikikumbuka kauli za kifedhuli na dharau alizozitoa Mbowe dhidi ya hayati Magufuli,akijua kabisa marehemu hawezi jitetea tena ?, kiukweli ilisikitisha sana kwa waungwana wastaarabu.

Mbowe alishangiliwa sana na wafuasi wake ,na waliomtuma cha kuongea.

Hakika malipo ni hapa hapa duniani,naye anadhalilika jela na hajajua mwisho wake ni upi hapa duniani, kiukweli hakuna ajue atamaliza kwa heshima au kwa dharau.

Je Mbowe alipima kauli zake dhidi ya hayati Magufuli?, akijua marehemu kalimaliza mwendo na asingeweza kujitetea,je?,tukisema Mbowe alipanga kuipa maumivu familia ya hayati na jamaa zao nitakuwa nimekosea?
Watanzania ,mdomo huponza kichwa.siku zote, mabalaa vilevile unaweza jiletea mwenye kwa kupenda
Namtakia Mbowe maisha mema na marefu apate kujifunza hii dunia jinsi ilivyoitwa na wahenga kwamba ni uwanja wa fujo
Marehemu meko alikua kichaa na file liko mirembe,mdogo wake chizi kabisa chato wanajua hilo,istoshe covid ilimpeleka alipostahili kuishi na mashetani wenzake,mazafanta
 
RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
522

Ugaidi haulipi mkuu mwisho wake mbaya sana! Angalia anavyoisoma namba ! Kale kamsemo never never again kamepotea! Jiepushe sana siku zote na kesi za jinai
 
omtiti

JF-Expert Member
Jun 19, 2019
921
1,000
Marehemu meko alikua kichaa na file liko mirembe,mdogo wake chizi kabisa chato wanajua hilo,istoshe covid ilimpeleka alipostahili kuishi na mashetani wenzake,mazafanta
Mbowe gaidi anastahili anachokipata kwa sasa ,ile style ya ujambazi kujifichia kwenye kichaka cha siasa mwisho wake umefika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom