Kijana mmoja aliyeonekana kama machinga amenusurika kipigo ndani ya daladala la Posta - Makumbusho baada ya kumwambia konda amshushe kituo cha Hamza akimaanisha Ubalozi.
Abiria wenye hasira...
16 September 2021
Dar es Salaam, Tanzania
Naibu Msajili wa Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi azungumzia utaratibu wa kuingia ndani ya Mahakama Kuu Maalum na...
Nimekuta malumbano huko twitter na baafhi ya watu wanakejeli kuwa anayeandika mtiririko wa kesi ni Bonny Jacob na siyo MMM kama wengi wanavyofikiria.
Ndio nauliza, huyo Bonny kazuiwa na katiba...
Kuepuka kuonekana mbaguzi epuka kulalia upande mwingine.
Position nzuri kuassume ni traditional position na kuacha kabisa kuzungumzia tena jinsia...
Huwezi msikia Chansela wa ujerumani akisemea...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya...
Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema takribani watu 345,000 sawa na 34% ya chanjo zilizokuja wameshachanja.
Msigwa amesema kazi kubwa imefanyika kuhakikisha watu hao wengi wamechanjwa na...
Na Sammy Awami BBC News, Dar es Salaam
18 Juni 2020
Rais wa Tanzania John Magufuli amekuwa akikosolewa kwa mashambulizi yake ya mara kwa mara dhidi ya "mabeberu" na tangazo lake la hivi...
Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na...
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi. Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana...
Kifo chake kimesikitisha wanyonge wengi na wapinga ufisadi.
Juhudi zake kubwa kukusanya mapato, kudhibiti mafisadi, kujenga vituo vya afya na kuteteta wanyonge zilikuwa haziwafurahishi wanaCcm...
TITLE: UKWELI KUHUSU NAMBA YA SIMU YA KIMATAIFA "+259"
ANALYST: JOSEPH MAGATA
Cell: +255 75 4710684
PUBLICATION: RAIA MWEMA, pg. 12
Juni 8, mwaka huu Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Masoud...
Tupo busy tunajitia moyo "USHINDI NI NJE NJE"
Kwa asilimia kubwa lengo la chama tawala ccm kupitia nyenzo zake yaani police na mahakama wamefanikiwa kwa asilmia 100% hadi tunavyoongea kuweka...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimeomba huduma ya utoaji chanjo ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu, inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19), iwe ya lazima badala ya hiari kama...
Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete alihudhuria mkutano wa pili wa wadau wa sekta ya mkonge mwaka 2021 na haya ndiyo aliyoyazungumza alipopata nafasi ya kutoa neno kwenye mkutano...
Mahakama ndio chombo huru ambacho kinatoa haki hapa nchini kwetu.
Tuondoe ile dhana potofu kuwa kuna mkono wa Ccm kwenye kesi ya Mbowe.
Tunaona mashahidi wakipigwa maswali mpaka wanaomba po...
Katika Jiji la Mwanza wananchi katika Makazi ya sehemu Mbalimbali Nyakato,Nyamongoro,Kisesa,Buswelu,kishiri ,Igoma. Nyumba nyingi za Makazi hazijaunganishiwa Umeme kutokana na changamoto ya...
Serikali ya Tanzania imeahidi shirika la fedha Duniani la IMF kwamba itaanza kutoa takwimu za vifo na maambukizi mapya ya ugonjwa wa covid 19 kila wiki kuanzia mwishoni mwa mwezi Septemba 2021...
17 Sept 2021
Special session | In memory of Benno Ndulu
This WIDER Development Conference Special Session commemorates the life and work of Professor Benno Ndulu, Chair of the Board of...
17 September 2021
Unguja, Zanzibar
Makamu wa Kwanza wa Rais wa akutana na Balozi wa Marekani kujadili GNU na maendeleo ya Zanzibar
Makamu wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mh. Othman Masoud Othman...