JOHNMNKENI
New Member
- Sep 17, 2021
- 3
- 4
Sorry, naomba mwenye ideas anisaidie tofauti kati ya DC, DAS, DED kimajukumu lakini pia kila mmoja anawajibika kwa nani
Ntashukuru
Ntashukuru
Nimetafute siioni, kama umwiona mkuu nisaidie kuipost apo niioneTayari kulishakuaga na thread kama hiyo humu itafute...