Ninakemea siasa chafu na propaganda dhidi ya kamanda Sirro na Jeshi la Polisi

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
18,174
27,219
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi. Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Ukweli ni kuwa bila hili Jeshi la Polisi kufanya kazi kiuweledi Leo hii nchi ingekuwa haina amani. Hivyo ninakemea propaganda na siasa chafu zote na ninaomba jeshi la polisi liendelee kufanya kazi ili Tanzania yetu ibaki salama.

Kamanda Sirro ni moja ya wanausalama ambao wanafanya kazi kwa weledi mkubwa sana na hii imepelekea wahalifu wengi kushindwa kutenda uhalifu.

Hivyo hii vita ya kumuona Sirro hafai inafanywa na mtandao wa kiuhalifu ambao wanatamani kuona jeshi la polisi likishindwa kutimiza majukumu yao. Lakini kwa bahati nzuri watu hao wameendelea kupuuzwa.

Kamanda Simon Sirro unapaswa kujua kuwa mamilioni ya watanzania wanakuamini na wapo nyuma yako.
#nitasimama na jeshi la polisi#

#nitasimama na kamanda sirro#

#kazi iendelee#
20210828_081439.jpg
 
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama Cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi.
Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inakuwa salama.
Ukweli ni kuwa bila hili jeshi la polisi kufanya kazi kiuweledi Leo hii nchi ingekuwa haina amani. Hivyo ninakemea propaganda na siasa chafu zote na ninaomba jeshi la polisi liendelee kufanya kazi ili Tanzania yetu ibaki salama.

View attachment 1911965
Akina country wide nyie ndio wale wambabikiaji ukisema yanayolalamikiwa hayana uzito utakuwa mwongo na mchochezi na unazidisha hasira za watu na kuibua wengine kwa hasira.
 
Chadema wanajificha kwa lile gaidi lililokufa juzi ili kulitukana jeshi la police nitashangaa kama rais ataendelea kuwaamini hawa wahuni
 
Mbona sikufahamu wala sijakutuma unisemee.

Post nyingine ya countrywide: ninakemea uzushi na fitna kwa Rais Samia.

Anaonekana ni mtu aliyekata tamaa sasa anatafuta aijra kwa njia hii, hata fanikiwa kwa mtindo huu.
 
Hili ndiyo jeshi la Polisi unalolitetea kuwa lisitukanwe?
 
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama Cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi.
Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inakuwa salama.
Ukweli ni kuwa bila hili jeshi la polisi kufanya kazi kiuweledi Leo hii nchi ingekuwa haina amani. Hivyo ninakemea propaganda na siasa chafu zote na ninaomba jeshi la polisi liendelee kufanya kazi ili Tanzania yetu ibaki salama.
Kamanda Sirro ni moja ya wanausalama ambao wanafanya kazi kwa weledi mkubwa sana na hii imepelekea wahalifu wengi kushindwa kutenda uhalifu.
Hivyo hii vita ya kumuona Sirro hafai inafanywa na mtandao wa kiuhalifu ambao wanatamani kuona jeshi la polisi likishindwa kutimiza majukumu yao. Lakini kwa bahati nzuri watu hao wameendelea kupuuzwa.
Kamanda Simon Sirro unapaswa kujua kuwa mamilioni ya watanzania wanakuamini na wapo nyuma yako.
#nitasimama na jeshi la polisi#
#nitasimama na kamanda sirro#

#kazi iendelee#
View attachment 1911965
Kamanda sirro ni askari mkubwa sana. Watanzania hawatamsahau kwa uongozi wake polisi kukomesha kwa ustadi mkubwa ugaidi rufiji. Vikaragosi wapinga maendeleo ndio wanamuandama kwa kushindwa njama zao.
 
Kumekuwa na siasa chafu zinazofanya na wafuasi wa chama Cha upinzani dhidi ya kamanda Sirro na jeshi la polisi.
Hawa watu wamekosa shukrani kabisa, jeshi la polisi linafanya kazi usiku na mchana kuhakikisha nchi inakuwa salama.

Ukweli ni kuwa bila hili Jeshi la Polisi kufanya kazi kiuweledi Leo hii nchi ingekuwa haina amani. Hivyo ninakemea propaganda na siasa chafu zote na ninaomba jeshi la polisi liendelee kufanya kazi ili Tanzania yetu ibaki salama.

Kamanda Sirro ni moja ya wanausalama ambao wanafanya kazi kwa weledi mkubwa sana na hii imepelekea wahalifu wengi kushindwa kutenda uhalifu.

Hivyo hii vita ya kumuona Sirro hafai inafanywa na mtandao wa kiuhalifu ambao wanatamani kuona jeshi la polisi likishindwa kutimiza majukumu yao. Lakini kwa bahati nzuri watu hao wameendelea kupuuzwa.

Kamanda Simon Sirro unapaswa kujua kuwa mamilioni ya watanzania wanakuamini na wapo nyuma yako.
#nitasimama na jeshi la polisi#

#nitasimama na kamanda sirro#

#kazi iendelee#
View attachment 1911965

mimi nipo nyuma ya Hamza
 
Mtoa mada hii wewe ni mwongo na mnafiki mkubwa,police walishindwa kabisa to take control of the situation,raia mmoja alisumbua platoon nzima ya raia waliovaa uniforms,na hii issue imethihirisha kuwa tuna police walio hodari to shoot static target than moving one,and bad was totally unnecessary kwa police kuendelea kuipiga risasi maiti!inaonyesha tuna askari wenye jaziba sio prop
 
Back
Top Bottom