Wananchi walalamika kutokuunganishiwa umeme Mwanza: Tatizo Nyaya za umeme zimeisha Nyakato TANESCO

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
671
500
Katika Jiji la Mwanza wananchi katika Makazi ya sehemu Mbalimbali Nyakato,Nyamongoro,Kisesa,Buswelu,kishiri ,Igoma. Nyumba nyingi za Makazi hazijaunganishiwa Umeme kutokana na changamoto ya Tanesco Tawi la Nyakato KUISHIWA NYAYA ZA KUUNGANISHIA UMEME.

Waziri Mpya wa Nishati anza na hili La Tanesco hasa katika maeneo ya Mjini wananchi imekuwa ni kero kupata umeme sababu zimekuwa nyingi kama surveyor wachache, Nyaya kuisha, nguzo hakuna, meter kuisha.

Unganisha nyumba nyingi hasa katika mjini muweze kupata mapato mazuri ya tozo
 

TANESCO

JF-Expert Member
Jul 12, 2014
3,585
2,000
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
 

Ndokeji

JF-Expert Member
Jun 9, 2011
671
500
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
Kuna watu 1650 wanahitaji kuunganishiwa umeme
 

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
1,499
2,000
Ndugu mpendwa Mteja wetu

Tafadhali tusaidia taarifa kamili ili tuweze kufanyia kazi taarifa zako

Jina

Eneo

Wilaya

Namba ya simu

Tatizo

Toka lini

Ahsante sana

TANESCO Huduma kwa Wateja, JM
inamaana taarifa hamjaiona, ametaja mitaa mnataka na namba ya simu ya nn?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom