Katibu Mkuu Mpya Nishati na Madini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Mkuu Mpya Nishati na Madini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JOHN MADIBA, Jul 22, 2011.

 1. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wizara hii imesababisa waziri mkuu E. Lowassa kujiuzulu, Karamagi na wengine wengi wakati huo hoja kuu ikiwa ni Richmond. Hivi majuzi Katibu mkuu amefukuzwa kazi Bwana Jairo kwa ajili ya rushwa. Na ni wizara inayoipeleka serikali ya JK puta, mchakamchaka, kudhaurauliwa na kupoteza mvuto.
  ............................................................JE NI KWANINI IMELAANIWA MAWAZO YAKO MUHIMU......................................................................
   
 2. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  kwani Jairo kafukuzwa kazi? mhh!!!! si PM alipewa maagizo mapya na sasa Jairo kapewa likizo yenye malipo kupisha uchunguzi?
   
 3. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,991
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hiyo wizara inataka mtu makini na shupavu ili iende mbele.
   
 4. k

  kamanzi Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Yangu leo machache. Ila kwa wale mnaotaka ushahidi wa ujambazi au ufisadi wa Wizara ya Nishati. Ushahidi huu hapa.Nawapa ili kama uchunguzi utamrudisha Jairo kazini muone jinsi CCM ilivyokuwa compromised. Kama hiyo attachment ujionee mwenyewe. JAIRO CAUGHT PANTS DOWN.jpg
   
 5. k

  kamanzi Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 28, 2007
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Tanzania bado sana kufika.
   
 6. JOHN MADIBA

  JOHN MADIBA JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 30, 2011
  Messages: 251
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wizara ya nishati na madini wizara hii imelaaniwa.
   
 7. Mipangomingi

  Mipangomingi JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,719
  Likes Received: 980
  Trophy Points: 280
  Ukifatilia sakata la Katibu Mkuu wa Nishati na Madini, ni wazi kuwa hatua zoote hizi zilizochukuliwa ni za kumpunguza presha ili asife kihoro lakini ukweli ni kwamba huyu jamaa atakaa nje ya post hiyo (japo kwa staili ile ya kumaliza muda wake wa utumishi wa umma). Jambo la msingi hapa ni kuanza kufikiria ni nani atamrithi bw Jairo na atakayeweza kufanya la maana katika hiyo wizara kimeo?

  This is the proposed list
  1. Christopher Sayi
  2. John Haule
  3. Eng. Omar Chambo
  4..........?
  5..........?
   
 8. M

  MWananyati Senior Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  This is the proposed list
  1. Christopher Sayi
  2. John Haule
  3. Eng. Omar Chambo
  4..........?
  5..........?

  Bwana mipangomingi,
  Mimi nasema, jaribu kuwa na fikra huru. Kwanini wewe ukae unafikiria tu watu ambao tayari wapo kwenye system ambayo imeoza? nani kati yao hao unafikiri anaweza kuleta mabadiliko? wote hao ni uozo mtupuuuuu
  Tunataka damu changa, ya mabadiliko, yenye uzalendo.
  Kama ni suala la kumhamisha mtu toka idara moja hadi ingine, basi aache tu kuteua manake huyo atakua tayari anauzoefu wa kufanya madudu kwenye mtandao wa wezi wa mali za umma
   
 9. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,802
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  January Makamba
   
 10. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  mmmmh!kweli hii nchi imeoza kama ndiyo hiyo list umetoa wote ni ''manzi ga nyanza''.Huyo Sayi madudu yake hana tofauti na Jairo ni basi tu Jairo katangulia kunaswa kwenye mtego.Chambooo.....fuswadi lisilo na mpinzani kwa sasa baada ya Gwiji Mgonja kuvunja rekodi nakupitiliza hadi kwa pilato.
   
 11. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,385
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Sasa hiyo Likizo ya Malipo si ndio wizi wa Kodi za Watanzania? Nchi hii kazi Ufisadi. Mtu alipwe bila ya Kufanyakazi si bora afukuzwe
   
 12. Tuyuku

  Tuyuku JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 3,149
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  wizara hii imeanza kulaniwa toka Vasco da Gama II alipokuwa waziri. Ndo akaanza mikataba mibovu ya IPTL
   
 13. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #13
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,695
  Likes Received: 8,230
  Trophy Points: 280
  Mkuu hata ukimwita hivyo umemtwika cheo kisicholandana naye..
  Vasco aligundua mengi na sehemu nyingi mpya!??
  Huyu wetu labda tumuite "Matonya International" maana kwa kutuhemea vibaba...hajambo!
   
 14. Researcher

  Researcher Senior Member

  #14
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 187
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani tuwe tunapitia sredi zilizopita kabla ya kupost..
   
 15. m

  malimim Member

  #15
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo sio Wizara, Ebu tujaribu pia kuangalia Serikali huenda ndio chanzo cha haya yote. Siamini kama Jairo peke yake ndiye aliyehusika katika hili. JK ajaribu tu pia kuangalia Wizara nzima kwa ujumla, na kama akiiona Wizara iko safi, basi ajiangalie mwenyewe pia huenda ndicho chanzo cha yote
   
 16. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #16
  Jul 22, 2011
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,972
  Likes Received: 20,334
  Trophy Points: 280
  Kweli ww ni risecha, TANO mkuu
   
 17. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #17
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jairo ana likizo ya kula na kuna huku akiingiza siku akisubiri tu kuambiwa kuwa mzee hayo yote ulisingiziwa rudi ofisini kwako.
   
 18. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #18
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jairo ana likizo ya kula na kunywa huku akiingiza siku akisubiri tu kuambiwa kuwa mzee hayo yote ulisingiziwa rudi ofisini kwako.
   
 19. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #19
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Upuuzi
   
 20. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #20
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Best ulikuwa umelala nini? Ndio unazinduka na kukuta barua juu ya meza.. wenzako wameitafuna kisha kuicheua na sasa imebaki kuwa kinyesi
   
Loading...