Naiona Wizara ya Nishati ikifanya vibaya sana chini ya January Makamba

El Roi

JF-Expert Member
May 29, 2020
263
502
Nikiri mwanzoni kabisa mwa andiko langu kwamba sifurahii na Wala siuzuniki Kwa mabadiliko chanya au hasi ya baraza la mawaziri au chochote katika nchi hii.

Na sababu ni kwamba Mimi ni muumini wa mambo makubwa ya kimfumo kama vile katiba inayoendana na Hali ya Sasa ya nchi na dunia kwa ujumla.

Kushughulikia mambo madogo madogo kama uteuzi wa watu kila mara ni dalili za watu wanaoshughilikia mambo madogo.

Na kifalsafa, kushughulikia city vidogo vidogo vidogo kunakufanya kuwa mdogo " dealing with small things definitely makes you small.

Hata hivyo ukiacha Hilo, kama mwananchi wa nchi hii, observation yangu kwenye reshufle ya cabinet imenipa kusema maana hata kama sishabikii wala kuuzunika," mchuma janga hula na wa kwao"

Kalemani pamoja na na mengineyo alikuwa ana sauti ya kusukuma mambo(vocal) kulinganisha na makamba ambaye Yuko kidiplomasia mno.

He is too diplomatic to run the ministry that requires aggressiveness.

Kwa maoni yangu naanza kuona jinsi ambavyo umeme wa REA utafungwa kwa rushwa kali, naona wafanyakazi Tanesco wakirelax vya kutosha, naanza kuona mgawo wa umeme na kukatikakatika kwa umeme achilia mbali kupungua kwa Kasi ya kusambaza umeme.

Naogopa maana Makamba kama presidency dreamer will want to sound politically correct je kwa asili ya wizara ya nishati na hasa umeme ataweza?

Nikiri sijui Matogoro Kalemani atakuwa la fail wapi lakini ukweli tutamiss nguvu yake ya kusukuma mambo ambayo kweli siioni kwa Makamba, vinginevyo aazime traits za Kalemani.

Will miss you kalemani.
 
Push gang muda wenu kwisha. Saiv mmekua yatima mnawayawaya hamjui hatima yenu.

January is too smart uncomparable. Mfano tu mchache ni jinsi alivoibadilisha wizara yamazingira mpaka boss wenu akaingiwa na wivu akamtumbua na kufoka jukwaani kuharibu sifa aliyojizolea makamba.
 
Huyo amepelekwa kulinda maslahi ya mabwanyenye wa nishati. Hawafurahishwi na kalemani kudhibiti upigaji na dili zao. Mfano tanesco kutumia nguzo za zege badala ya nguzo za miti za africa kusini. Kutaka tanesco kutumia transformer na vifaa vya nchini. Tenda za kuagiza mafuta na udhibiti wa bei etc.
 
Nilikua na miezi mingi sijaisikia chato !

Naona mmekumbukwa kidogo walau mkae kwenye "fontpedi"...
 
Back
Top Bottom