Tanzania isingekuwa na Demokrasia iliyokomaa Tundu Lissu asingeruhusiwa kuja kugombea Urais akitokea Uhamishoni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,944
141,920
Demokrasia siyo tu kufanya mikutano na maandamano kama Chadema wanabyoamini bali demokrasia ina maana pana.

Kitendo cha Tundu Lisu kuruhusiwa kuja kugombea urais wa JMT akitokea nchini Ubelgiji na kisha alipofeli akaruhusiwa kuondoka kwa amani kunaonyesha jinsi tulivyokomaa kisiasa.

Tundu Antipas Lisu ndiye mgombea pekee wa urais aliyexunguka nchi nzima kufanya kampeni 2020 na kwa sababu za kutojulikana sana hasa vijijini aliambulia 13% ya kura zote na kushika nafasi ya pili akitanguliwa na JPM wa CCM aliyepata 84%
 
Kitendo cha Tundu Lisu kuruhusiwa kuja kugombea urais wa JMT akitokea nchini Ubelgiji na kisha alipofeli akaruhusiwa kuondoka kwa amani kunaonyesha jinsi tulivyokomaa kisiasa.
Je ni kweli raia anahitaji kibali cha pekee cha kugombea kama amekaa miezi kadhaa ugenini?
Je ni kweli raia anahitaji kibali akitaka kusafiri nje ya nchi ???
Mkuu, tafadhali utuelimishe kuhusu sheria!!°
 
Kaka unakera na unaonekana kama tahira,sio vibaya kuwa upande wa CCM hata sisi tupo huko.lakini unapotumia akili na elimu yako hata kushabikia mambo ya hovyo unaonekana kama punguani
 
Back
Top Bottom