Ni Kijana mmoja ambaye bado hajafahamika utambulisho wake, anayedaiwa kuwa dereva wa bodaboda, amekutwa ameuawa katika mashamba ya Likamba, kitongoji cha Olomoshira, Kata ya Musa, Wilaya ya...
Walianza na FAM& Co.
Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza.
Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga.
Kamwaga ya Direct Contact ya...
Kwa hizi kashfa zinazoendelea nchini—ikiwemo tuhuma za utekaji, mauaji, kesi za uhaini, kwenda EDA, wizi, rushwa na ajali nyingi za barabarani—itakuwa ngumu sana kwa kiongozi mwanamke kukubalika...
🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU.
Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September...
Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo.
1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani...
Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala wa Siku ya Demokrasia, Jenerali Ulimwengu amesisitiza kuwa ili kuwajenga vijana na kulinda demokrasia, ni lazima kusema iseme ukweli na kudai...
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa...
Ukiangalia safari ya Tanzania kwa miaka yote hii, ni vigumu kuzungumzia historia ya taifa letu bila kuitaja CCM. Chama hiki kimekuwa sehemu muhimu ya uongozi na maendeleo ya nchi, na kimepitia...
Upande wa Jamhuri umeendelea kumfanyia cross-examination Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Katika maswali...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema taasisi za dini haziruhusiwi kisheria kwenda kwenye vituo vya kura kuangalia mchakato wa upigaji kura...
Hawa wengine ni waigizaji
Kama mnabisha wakati utasema
Hata Mange ni afisa muulize kwanini aliingia mitini kabla ya uchaguzi ? Huyu ndiye chanzo Cha watu kuuawa October 2025 .
Yule pia wa...
Wanabodi
Tukubali tukatae watu hatulingani, kuna watu wana nguvu fulani za unabii kama wa upako fulani, wakilisema jambo, linakuja kutimia!, kauli zao ni ama zina power ya umbaji ndani yake...
Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Mwanga na Mjumbe wa Baraza Kuu la CHADEMA Taifa, Lembrus Mchome, amesema mwenendo wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, umeibua mijadala...
Ndugu zangu Watanzania,
Nafikiri hadi sasa wana CHADEMA watakuwa wameanza kufunguka akili na kuelewa mambo yalivyo juu ya unyonyaji mkubwa na ulaghai wanaofanyiwa na viongozi wao aina ya akina...
Hamjambo!
Nitaendelea kutoa elimu humu kilazima lazima. Najua vipo vichwa vyenye moshi havipendagi.
Nyuma ya pazia la utawala niliwahi kugusia mada hiyo kwa uchache. Nikijaribu kuwaambia wale...
Mkurugenzi wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Bernadetha Kafuko, amesema Tanzania inahitaji kuwa na mifumo madhubuti ya mazungumzo na kuheshimu tofauti za kimtazamo, kisiasa na kimfumo...
Kesi ya Uhaini ya Lissu inaendelea huku John Heche akitarajiwa kuendelea kutoa ushahidi Mahakamani Sept. 11. 2026 ambapo jana Septemba 10 Mahakama Kuu ilikataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.