Hii ni kwasababu, wanajua kabisa anachokutananacho Heche mahakamani, kinaweza kuwakuta IGP, CDF na DCI hasa ikitokea Lissu anawafanyia cross examination iwapo mashahidi hao watamgeuka.
Wanajua...
Vijana mmesikia ushauri kutoka kwa mbunge?
==========
Akizungumza katika kipindi cha One on One kinachorushwa na Wasafi TV, Mbunge wa Viti Maalum, Rahma Kisuo, amewataka vijana wanapomaliza masomo...
Jenerali Ulimwengu, amekosoa utamaduni unaoendelea nchini wa kukwepa kuhoji au kutowajibika pindi matatizo yanapojitokeza katika michakato ya uchaguzi na mfumo wa kidemokrasia.
Akizungumza leo...
Kuna mtu Kitanzi kinamwita...
● KATUGA: Umesema unaiheshimu Katiba ya Tanzania?
🔴 LISSU: Ndiyo.
● KATUGA: Na unakubali kwamba hakuna mtu aliye juu ya Katiba?
🔴 LISSU: Ndiyo.
● KATUGA...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche amesema kuwa iwapo ananufaika kisiasa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, kuwa gerezani, basi mamlaka zinazomshikilia zimwachie ili manufaa hayo...
Kama kawaida yake, katika nyakati usizomtegemea, huku akiwa amefungiwa mitandao yake ya jamii, lakini sauti yake iliyao nyikani imeweza kupenya na kuwafikia watanzania juu ya uhuni wa kisiasa...
Nipo Kiwanja kimoja hapa mtaani naona wamesema Wasafi TV wanashuhudia tukio la 40 ya Sandrah mtoto wa Diamond
Kuna jambo nimekuona siyo la kawaida, jukwaani yupo Mzee Yusuph na Zuchu wanaimba...
Ni Kijana mmoja ambaye bado hajafahamika utambulisho wake, anayedaiwa kuwa dereva wa bodaboda, amekutwa ameuawa katika mashamba ya Likamba, kitongoji cha Olomoshira, Kata ya Musa, Wilaya ya...
Walianza na FAM& Co.
Wamemgeuka sasa Yule Aliekua akifanya nao zile mission za kumchomoa Joka la Kengeza.
Ila Lema Uzuri awezi kubali Kufa Kizembe Atamwaga mboga.
Kamwaga ya Direct Contact ya...
Kwa hizi kashfa zinazoendelea nchini—ikiwemo tuhuma za utekaji, mauaji, kesi za uhaini, kwenda EDA, wizi, rushwa na ajali nyingi za barabarani—itakuwa ngumu sana kwa kiongozi mwanamke kukubalika...
🅻🅸🆅🅴 MWABUKUSI RAIS WA TLS ANAZUNGUMZA MUDA HUU.
Rais wa TLS mwanasheria Boniface Mwabukusi akiongoea na waandishi wa habari kuhusu hatua walizochikua kuzuia maandamano ya jana tarehe 23 September...
Hakuna aliyetarajia kuwa Mbowe angekosa hekima katika kufikia maamuzi ya ama kugombea au kupumzika, mpaka iliposhuhudiwa leo.
1. Kwa kuzingatia misingi ya demokrasia, Lisu alistahili kushindani...
Akizungumza leo Septemba 15, 2026 katika mjadala wa Siku ya Demokrasia, Jenerali Ulimwengu amesisitiza kuwa ili kuwajenga vijana na kulinda demokrasia, ni lazima kusema iseme ukweli na kudai...
Tuhuma hizo kazitoa dakika kama 18 zilipita kupitia mtandao wa X akidai kuwa Lema hatuko nae tena(sio mwenzetu).
Hiyo clip ina tuhuma nyingi na zinazogusa watu wengne kwahiyo siwezi kuiweka hapa...
Ukiangalia safari ya Tanzania kwa miaka yote hii, ni vigumu kuzungumzia historia ya taifa letu bila kuitaja CCM. Chama hiki kimekuwa sehemu muhimu ya uongozi na maendeleo ya nchi, na kimepitia...
Upande wa Jamhuri umeendelea kumfanyia cross-examination Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu. Katika maswali...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima, amesema taasisi za dini haziruhusiwi kisheria kwenda kwenye vituo vya kura kuangalia mchakato wa upigaji kura...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.