Mahakama Kuu kupitia kwa Jaji Dunstan Ndunguru imekataa ombi la mshtakiwa Tundu Lissu la kuwaita baadhi ya mashahidi wa utetezi katika Kesi ya Uhaini Na. 19605/2025, ikieleza kuwa ushahidi wao...
Hakika ukitenda Ubaya huwezi kuwa na Amani, huyu ni mtu wa kujifichaficha mara zote kutokana na kashfa zinazomkabili.
Sasa leo alipelekwa Mbezi Magufuli stand ili atumike kutisha Madereva (maana...
Na ninayaongea haya kama Mkristo
Kuna fikra potofu zilizozoeleka kwamba viongozi na teuzi nyingi lazima wajae wakristo, tuanze kuzoea baadhi ya teuzi muda mwengine wajae waislam hata kwa asilimia...
Kutoka mahakama kuu ya Tanzania, masjala ndogo jijini Dar es Salaam, kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA dhidi ya Jamhuri inaendelea.
Tayari mshtakiwa Tundu Lissu ameshawasili...
Je viongozi wanatoka kaya masikini nao wanaakili za kimasikini mfano Mwigulu!?
Nasema hivi kwasababu nimegundua wakati mwingine ukitoka kwenye familia masikini sana sio wote lakini wengine bado...
Waziri Mkuu mstaafu Cleopa David Msuya, ameipa live serikali ya Jakaya Kikwete kua, kama itashindwa kuyakabili matatizo ya Umeme na ajira kwa vijana basi siku si nyingi Nchii hii itakua kama Libya...
Taarifa Ikufikie popote ulipo, kwamba, Balozi wa Uingereza Nchini Tanzania, David Concor amefika Hotel Desderia ya Jijini Mbeya na kukutana na Bilionea Joseph Mbilinyi kwa Mazungumzo.
Habari...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo, Balozi wa Ufaransa Nchini Tanzania, amefika Mahali alipojihifadhi Bwana Joseph Mbilinyi, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa ili kumpa pole na kumjulia hali...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Balozi huyo amefika kumuona Bwana Sugu baada ya kuruhusiwa kutoka Hospitali, ambako alilazwa akiwa Mahututi kutokana na kipigo cha Polisi wa Tanzania...
hivi vyeo watu wanavyojipa kujipamba au wanavyopewa na wapambe ni kwa ajiri ya kuwafurahisha tu wamwage njurugu au mapene au wapate favor kwa hao wakubwa lakini ukiondoka hakuna anayejisumbua tena...
Mama pole kwa MSIBA wa Chicago, sijui chibaba mimi simjui vizuri yule bwana wa Zimbabwe.
Namshukuru Mungu alifika Zanzibari kukufariji kwa niaba ya Wazimbabwe ingawa kwenye picha alikuwa...
π§ππ‘πππ‘ππ π¬ππ£ππ§π ππ¨π₯π¦π π‘π¬ππ‘πππ‘π ππ ππππ₯π π°,π±π¬π¬ π‘ππππ‘π π€ππ§ππ₯
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania imepata fursa nyingine za ajira zaidi ya 4,500 kwa ajili ya Watanzania walio tayari...
Kichwa cha Marehemu James Temba Chadaiwa kupatikana maeneo ya Kitunda Kibeberu. Ni yule aliyeookotwa Mto msimbazi akiwa anaelea bila kicwa ambapo mwili wake ulisafirishwa kwenda kwao Moshi na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar, Albert Chalamila amesema kiwa kama kutakuwa na dereva ambaye hamsikilizi yeye kama Mkuu wa mkoa ila anamsikiliza tajiri yake basi familia yake itamsahau.
Habari Kuu: Ghana Yaupiga Chini Mkataba wa Dola Milioni 109
Serikali ya Ghana, chini ya Rais John Dramani Mahama, ilikataa rasmi mkataba wa afya wa miaka mitano wenye thamani ya dola milioni 109...
Wanabodi,
Mungu na Shetani
Hiii ni moja ya Mada zangu za holistic approach zinazotumia dhana dhanifu ya Mungu na shetaniγ
Preamble!.
Japo ajali ni ajali tuu, huweza kutokea, popote kwa yeyote...
Kama madereva wana uwezo wa kutumia teknolojia ya kidigitali kuhamasishana kugoma nchi nzima kwanini nyinyi LATRA mnashindwa kutumia teknolojia hiyohiyo kuwadhibiti madereva wasifanye makosa...