CS Msaidie Mshomba kuondoa hawa NSSF

CS Msaidie Mshomba kuondoa hawa NSSF

telegram

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2021
Posts
297
Reaction score
330
Ktk kufufua Shirika la Umeme tumeona wakiondolewa viongozi wababaishaji na sasa tunasubiri safu mpya yenye kutatua matatizo ya wateja.

Ni ktk kipindi cha miaka mitatu nssf kumekua na huduma mbovu kutokana na alokuwepo ERIO kuweka wasaidizi wasokua na maslahi na wanachama zaidi ya matumbo yao.

Ni wakati sasa CS uingilie kati na kuondoa wote waliopata vyeo bila utaratibu kwa kuanza na wale wote waliotoka PPF halafu mameneja wa mikoa waliopewa vyeo bila kufanyiwa usaili kwa kubebwa aidha kikabila au kutokana na uswahiba katika upigaji.

Yameongelewa sana humu naamini kama ni mpitaji humu utawajua ila pia kwa intelijensia yako utawajua.

Wako walopewa madaraka wanaupiga mwingi sana huko nssf

Ukinitajia NSSF mpaka naona as if umenitajia choo Cha manicipal,Moja ya mashirika ya serikali yasiyo jitambua,ni rahisi sana kuchukua pesa yako ila wewe yako kuipata unaweza kufa kwenye process za kuchukua hiyo pesa!
Wafanyakazi ma mwinyi,hawana clear and uniform information kwenye kumuhudumia Mteja,Leo unaweza ambiwa hivi na Msuguli,kesho ukienda kwa koku Hana habari ulichoambiwa na Msuguli as if wanafanya ofisi tofauti.
Wana tabia sana ya kuwasumbua wafanya kazi Mara mwajiri hajaingiza michango nk,hivi wao kazi Yao kwa mwajiriwa ni ipi juu ya haki za mfanya kazi? Ukija kwenye ku process mafao Sasa,hapa ndio balaa kama umetoka mkoani unaenda Dar kufuatilia mafao nakushauri kabisa hamishia na familia Dar au uwe na pesa ya kupanga kabisa maana SI mchezo
 
Ktk kufufua Shirika la Umeme tumeona wakiondolewa viongozi wababaishaji na sasa tunasubiri safu mpya yenye kutatua matatizo ya wateja.

Ni ktk kipindi cha miaka mitatu nssf kumekua na huduma mbovu kutokana na alokuwepo ERIO kuweka wasaidizi wasokua na maslahi na wanachama zaidi ya matumbo yao.

Ni wakati sasa CS uingilie kati na kuondoa wote waliopata vyeo bila utaratibu kwa kuanza na wale wote waliotoka PPF halafu mameneja wa mikoa waliopewa vyeo bila kufanyiwa usaili kwa kubebwa aidha kikabila au kutokana na uswahiba katika upigaji.

Yameongelewa sana humu naamini kama ni mpitaji humu utawajua ila pia kwa intelijensia yako utawajua.

Wako walopewa madaraka wanaupiga mwingi sana huko nssf

Hujui kitu. Hicho alichokifanya January kitamgharimu Mama na urais wake. Huwezi hata kidogo kubadili top management yote na tanesco ikawa na ufanisi. Tutegemee matatizo makubwa ya umeme.
 
Makamba alichofanya ni kuondoa wote ambao hawakubaliani na ufisadi wake na boss wake. Ili aweke yes sir. Maskini alipo JPM!!! Bwawa lake sasa ni dhahiri litahujumiwa
 
Ni ajabu. Huwezi muondoa kama yule deputy director wa uwekezaji wakati kuna miradi mikubwa inaendelea. Yaani kaka Makamba alipaswa atumie intelijensia kabla ya kutenda. TANESCO hawakuwa wanahujumu na serikali ya Mama haina hilo tatizo ila hawa akina Makamba wanataka kumuonesha Mama viongozi wote waliokuwa chini ya Dkt Magufuli hawafai, yaani including yeye Mama Samia watamuona hafai 2025. Kama ana akili Mama ampige chini Makamba faster. Ajitenge nao, aunde timu yake kama alivyofanya Dkt Magufuli. Ila akiwategemea naona Mama ana mwisho siyo mzuri.
 
Yani Management imuhujumu Rais alafu iachwe?
Huyo deputy director alikuwa anafanya kazi peke yake? Alikuwa anafanya kazi kichwani kwake?

As long as kila kitu kipo kwenye kumbukumbu mambo yataenda tu!

Kwani kuna shida gani ikiondoka yote? Wao ndo wanazalisha umeme?
 
Ni kuondoa wote mbona jpm aliondoa wote wa jk tena serikali kuu na mambo yakaenda
 
Makamba alichofanya ni kuondoa wote ambao hawakubaliani na ufisadi wake na boss wake. Ili aweke yes sir. Maskini alipo JPM!!! Bwawa lake sasa ni dhahiri litahujumiwa
Ufisadi upi wake? Weka ushahidi
 
Yani Management imuhujumu Rais alafu iachwe?
Huyo deputy director alikuwa anafanya kazi peke yake? Alikuwa anafanya kazi kichwani kwake?

As long as kila kitu kipo kwenye kumbukumbu mambo yataenda tu!

Kwani kuna shida gani ikiondoka yote? Wao ndo wanazalisha umeme?
Lord denning mnakosea sana. Uzuri lengo lenu lilishajulikana. Dkt Magufuli na sasa Mama Samia haukuwa mpango wenu. Mpango wenu ilikuwa Mh. Membe then Kina January. Sasa mnaposema viongozi waliokuwa chini ya Dkt Magufuli Mama Samia mnamtoaje??? Hivi hamuoni mnajulikana mnachotaka kufanya? Yaani msije mkamuua na Mama na Mkamuua Mpango ili mtimize malengo yenu.
 
Unaushahidi wa Rais kuhujumiwa? Au ndo story za vijiweni.
 
Ndio ninao
Kuna siku Umeme ulikatika Mtaani kwetu! Nikapiga simu Tanesco kuwauliza Kwa nini Wamekata nikajifanya kiongozi wa Serikali na nitawachukulia hatua! Ndani ya dk 2 umeme ulirudi. Kama sio hujuma ni nini?
 
🤣🤣🤣🤣,kwahiyo uliamua kuvunja sheria ee.
 
Lord denning mnakosea sana. Uzuri lengo lenu lilishajulikana. Dkt Magufuli na sasa Mama Samia haukuwa mpango wenu. Mpango wenu ilikuwa Mh. Membe then Kina January. Sasa mnaposema viongozi waliokuwa chini ya Dkt Magufuli Mama Samia mnamtoaje??? Hivi hamuoni mnajulikana mnachotaka kufanya? Yaani msije mkamuua na Mama na Mkamuua Mpango ili mtimize malengo yenu.
Hizo nadharia zenu kaeni nazo nyie wenyewe! Hakuna mwenye mpango wowote na Mimi ni raia wa kawaida tu kama wengine!

Nani amuue Nani kwa sababu gani? Kwani hawajulikani kuwa hawamuungi mkono Mama na walipanga kumkwamisha kwa njia mbalimbali?
 
Lord denning lisemwalo lipo …… Tulitegemea mliopanga hiyo mipango ya kuua na hatimaye kufanikiwa basi mgesubiri japo mwaka au miwili mje na mpango mkakati wafiwa wakiwa wamesahau. Ila sasa mnavyosomeka, Dkt Magufuli aliingilia mpango wenu (hayupo), Mama Samia kaingilia mpango wetu (aondoke), Dkt Mpango anaweza kuingilia mpango wenu (asepe), sasa mnavyojionesha as if 2024 karibia tunaweza pata majanga ya kuwahisha mipango yenu kwa Mama Samia (kurest) na mwingine potential (Dkt Mpango) ili mkamilishe mlichopanga. Na ndiyo maana mmekosa busara mambo yenu yapo wazi mtadhani ni watoto wadogo, na mnadhani watanzania hawajui. Mama Samia piga chini vikundi vyote vya 2015. Mama fuata nyendo za Dkt Magufuli ili uwe rais mpaka 2035, na jifunze alipokosea Dkt Magufuli ili udumu.
 
Kama dunia ingekuwa ivyo basi hata Shetani angezirai!

Huo ujinga mnaolishana ndo unawafanya muishi kwa hila za kijinga na kumuhujumu Mama wa watu eti aonekane hawezi kuwa Rais!

Nani kamuua Magufuli? Hivi unajua Rais wa nchi wewe? Unadhani kuua Rais ni sawa na kuua panya hapo nyumbani kwako?

Punguzeni ushamba! Hiyo ndo shida yenu kuu! Mtu anaona corona inaua alafu anaibeza na hachukui tahadhari! Kwa trend ya corona ilivyokuwa unadhani hata Kama ungekuwa ni wewe na una magonjwa ya moyo sijui huko ungepona?
 
Tatizo mnaposhangilia kifo chake inaonekana kama mlipanga hiyo mipango ya kumuua na mkafanikiwa. Mjue huku mtaani genge lenu linasemekana mlimuua Dkt Magufuli na Ben. Sasa mjipange kujisafisha. Mgekuwa na akili mgeanza kukemea tabia ya kumbeza Dkt Magufuli mitandaoni na kwenye majukwaa mgehimiza aheshimiwe na mgetumia vyombo kufuatilia. Ila sasa ni kinyume, mnajisemea kabisa bora mlifanikiwa kumuua na kila kukicha mnafanya sherehe ya kushangilia kufanikiwa kumuua Dkt Magufuli. Na kwa inavyoonekana sasa Mama Samia na Mpango wawe makini kwa sababu nao walikuwa chini ya Dkt Magufuli, na wao anytime waondoke. Kwa ufupi mipango yenu ya kitoto sana!
 
Ni ajabu. Huwezi muondoa kama yule deputy director wa uwekezaji wakati kuna miradi mikubwa inaendelea. Yaani kaka Makamba alipaswa atumie intelijensia kabla ya kutenda. TANESCO hawakuwa wanahujumu na serikali ya Mama haina hilo tatizo ila hawa akina Makamba wanataka kumuonesha Mama viongozi wote waliokuwa chini ya Dkt Magufuli hawafai, yaani including yeye Mama Samia watamuona hafai 2025. Kama ana akili Mama ampige chini Makamba faster. Ajitenge nao, aunde timu yake kama alivyofanya Dkt Magufuli. Ila akiwategemea naona Mama ana mwisho siyo mzuri.
Unasema kweli ila Mama amefungwa mikono na JK katika kutawala hii nchi. Jinsi ya kuokoa jahazi ni kuondoa influence ya JK kwa Mama. La sivyo ufisadi unaoanza kutamalaki utakuwa zaidi ya awamu ya nne wakati masikini mama hahusiki. Unakumbuka ule wa Anna Mkapa na nduguze dhidi ya Mkapa?
 
Tatizo mnaposhangilia kifo chake inaonekana kama mlipanga hiyo mipango ya kumuua na mkafanikiwa. Mjue huku mtaani genge lenu linasemekana mlimuua Dkt Magufuli na Ben. Sasa mjipange kujisafisha. Mgekuwa na akili mgeanza kukemea tabia ya kumbeza Dkt Magufuli mitandaoni na kwenye majukwaa mgehimiza aheshimiwe na mgetumia vyombo kufuatilia. Ila sasa ni kinyume, mnajisemea kabisa bora mlifanikiwa kumuua na kila kukicha mnafanya sherehe ya kushangilia kufanikiwa kumuua Dkt Magufuli. Na kwa inavyoonekana sasa Mama Samia na Mpango wawe makini kwa sababu nao walikuwa chini ya Dkt Magufuli, na wao anytime waondoke. Kwa ufupi mipango yenu ya kitoto sana!
Nani kafanya sherehe Mudawote? Hizo story za mitaani zisiwaendeshe
 
Tatizo mnaposhangilia kifo chake inaonekana kama mlipanga hiyo mipango ya kumuua na mkafanikiwa. Mjue huku mtaani genge lenu linasemekana mlimuua Dkt Magufuli na Ben. Sasa mjipange kujisafisha. Mgekuwa na akili mgeanza kukemea tabia ya kumbeza Dkt Magufuli mitandaoni na kwenye majukwaa mgehimiza aheshimiwe na mgetumia vyombo kufuatilia. Ila sasa ni kinyume, mnajisemea kabisa bora mlifanikiwa kumuua na kila kukicha mnafanya sherehe ya kushangilia kufanikiwa kumuua Dkt Magufuli. Na kwa inavyoonekana sasa Mama Samia na Mpango wawe makini kwa sababu nao walikuwa chini ya Dkt Magufuli, na wao anytime waondoke. Kwa ufupi mipango yenu ya kitoto sana!
Nipo na wewe kabisa,huku mtaani watu wanaamini JK na kundi lake walihakikisha Mkapa,Magufuli na Kijazi wanauliwa kwa namna yoyote ile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom