ItsMi
Member
- Sep 13, 2021
- 66
- 31
Karibu mdau wa nguvu tulijadili hili
Ambapo sisi ni taifa huru lenye katiba zilizowekwa, tunayo haki ya kutetea na kuongelea uhuru wetu pia sisi kama wananchi tunayo misingi yetu itakayotukomboa kiuchumi ili kwamba tuwe imara na tusiweze kuyumbishwa na mawazo ya nchi zingine Kwa kuwa tunazo sifa za kujivunia nchi yetu:
1. Sisi ni taifa lenye uongozi bora.
2. Tunazo rasilimali nyingi za kutosha.
3. Tumethubutu kuwajibika na kutekeleza majukumu yetu.
4. Sisi ni taifa huru yenye wazalendo katika kuipigania nchi yetu na kuitetea katika kila hali.
Sisi ni nuru ya taifa tushirikiane bila kusahau malengo tuliyojiwekea kama taifa ili kuimarisha mahusiano mazuri na nchi jirani, na kamwe tusiwe chanzo cha kubomoa misingi yenye kuleta maendeleo na yenye tija kwa jamii na taifa kwa ujumla.
Hakika kwa pamoja tunaweza kujikomboa bila kutegemea mataifa mengine bali tuwe msingi imara wa uwajibikaji katika kuziwezesha jamii zetu zilizo nyingi ili ziweze kujikwamua kiuchumi kwa kuwa nia na malengo ya kufika mbali tayari tunayo.
Asante