Kuna watu wabinafsi na walaku wa mali kupindukia ambao badala ya huo ulaku na ubinafsi kuutumia kutafuta mali zao wanafikiria kupora mali za umma.
Ubinafsishaji wa mashirika mengi ya umma...
Tulimzuia Dangote kutoa makaa ya mawe kutoka S.Afrika, je migodi yetu ya makaa ya mawe ipo hali gani leo? Kutoka kwenye lesson leant tunaamni mawazo yetu yalikua sahihi?
Tulidhibiti usafirishaji...
HUKUMU YA SABAYA, UDIKITETA NA MADAI YA KATIBA MPYA NCHINI TANZANIA
Huko nyuma, sisi Askofu tulionya mara nyingi kuwa nchi yetu ilikuwa imeabiri meri iliyokuwa inatupeleka katika ng'ambo ya...
CCM ni chama kinachoheshimika sana Afrika na duniani kote.
CCM ndio kimezaa vyama vyote vya siasa nchini.
Tabia za kihalifu zilizoonyeshwa na baadhi ya wanachama wake wakiwemo Hamza na Ole...
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda...
Serikali ya awamu ya tano ilitumia nguvu na rasilimali kubwa ya nchi ikiwamo rasilimali fedha kuwatumia Acacia na kuingia mkataba na Barrick (wanaume) na tukapewa matumaini makubwa kuwa Barrick...
Ni vitu gani ambavyo viongozi wetu walifanya nyuma ila pale unapo kumbuka unabaki na mshangao na kujiuliza maswali yasio na majibu
Mimi nakumbuka mwaka fulani nipo kijijini kwetu kulikuwa na...
Kadri siku zinavyokwenda nazidi kujifunza, moyo wangu unapondeka, unyenyekevu unatawala.
Kwanza kabisa, nimepoteza watu wengi sana wa maana katika maisha yangu, watu niliowapenda na kuwategemea...
Japo tunaka kamsemo ketu "unda tatizo kisha tatua" ila sasa hiyi ni too much haiwezekani
Hivi haya mambo tunayoyafanya hata kama ni kulinda vyeo unajisikiaje ukifanyiwa wewe
Unakuta kiongoZi...
Mitandao ya kijamii inashiriki sana kuelimisha umma wa Watanzania kwa namna mbalimbali kuanzi hapa Jamiiforums, Twitter n.k
Nashauri serikali ianze mpango wakutoa Motisha kwa baadhi ya...
Baada ya Mkutano Mkubwa ukiofanyika BOMANG'OMBE Jimboni Hai Wananchi wameamua kuusindikiza msafara wa Rais Magufuli kwa kukimbia Mbio ili kuonesha mapenzi yao kwake na ccm . Video inamuonesha Dc...
Kuna saa najiuliza shida ni elimu yetu mbovu au ni viongozi tulionao ndio wabovu?
Inakuaje PhD holder wa uchumi unashindwa kuelewa madhara ya haya makato kwenye uchumi wa nchi?
Makamu wa Rais ni...
Juzi akiwa Chato, Rais Sami alishangiliwa sana alipoonesha kwamba anataka kuongelea suala la Chato kuwa mkoa. Angekuwa mtu wa kufuata kelele za kisiasa lazima angingia mkumbo halafu kichwakichwa...
Naibu Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amingia mdarakani na ana mkwara mkubwa.
Tatizo lake ni moja, exposure na experience ya kaxi za ujenzi miradi ya maji ni sifuri.
Kwa kijana aliyemaliza chuo kikuu...
Huyu ndiye rais aliye chaguo la Mungu, wengi hawkutegemea kuwa mama Samia angekuwa rais wa nchi hii, Ila kwa Mungu Kila kitu kina wezekana.
Huyu ni miongoni mwa binadamu walio Pata malezi Bora...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuchanja kunaipunguzia Serikali gharama za matibabu na za kupoteza nguvu kazi ndani ya Nchi. Amesema, "Tukikaa bila kuchanja maradhi yale yakiingia, yanaingia kwa...
Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa.
Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo...
Kesi ya Sabaya Inakosekanaje mashahidi? Hapa kichwa kinaniuma kwa kujiuliza. Jinsi huyu dogo alivyokuwa anafanya "unyama" (kwa mujibu wa maelezo ya watu.
Nlitegemea mahakamani pangekuwa panajaa...
Wadau nadhani tunakumbuka tukio la uvamizi wa kituo cha televisheni cha Couds, Mikocheni jijini DSM uliofanywa na Paulo Makonda. Je, huu haukuwa ugaidi?
Mbona hatukuona polisi kumkamata na...