CCM msituletee tena Rais kama Hayati Magufuli

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,701
36,119
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
 
CCM ndio mulioshika mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hiyo nayo imeingia kwenye history. Mpaka tukanyoshewa vidole vya ukandamizaji.

Miaka ya nyuma tukiwanyoshea vidole wabaguzi wa rangi na ma dictator popote ulimwenguni. Tuliwatukana SA , Zaire, Uganda , Malawi na hata US tulisimamia kucha kukataa uungwaji mkono makaburu. But this time yametukuta .
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Kwa wananchi wa hali ya kawaida, Huyo usiyemtaka ndiye alikuwa kipenzi chao.
Aligusa mioyo yao.
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".

Rais kama JPM hakuletwa na CCM. Na haitakuwa mara ya mwisho kuwa na Rais wa style ya JPM au hata zaidi. Hujui kwamba uongozi anayetoa ni Mwenyezi Mungu?
 
Siku hiyo Marehemu akitamka hivyo nilikuwa naangalia tv mubashara, nilistaajabu Sana,!!!!!!

Ila kwa kweli nilimpendea moja tu Hakuwa na usanii au blahblah. Neno "UPEMBUZI YAKINIFU" Lilikufa kabisa.

Ila wapinzani ndiyo wanao,determine Rais awe wa aina gani. Wapinzani ndiyo walifanya tukomolewe.
 
Kweli lazima wampende maana alivuruga masoko ya mbaazi, dengu, pamba, korosho, choroko n.k
Endelea kumuwaza JPM
Screenshot_20211009-184222_Instagram.jpg
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hata mmeo asipokufanya vizuri unakuwa na hasira na JPM...

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
 
Siku hiyo Marehemu akitamka hivyo nilikuwa naangalia tv mubashara, nilistaajabu Sana,!!!!!!

Ila kwa kweli nilimpendea moja tu Hakuwa na usanii au blahblah. Neno "UPEMBUZI YAKINIFU" Lilikufa kabisa.

Ila wapinzani ndiyo wanao,determine Rais awe wa aina gani. Wapinzani ndiyo walifanya tukomolewe.
Hili ndo jibu sahihi. Tena hao wapinzani uchwara wamemfanya mama kaze buti.
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".
Hii mimba ya Magufuli unajifungua lini?
Kula malimao na ndimu kwa sana kuepuka kichefuchefu
 
CCM ndio walioshoka mpini sasa, na kwa hulka za Watanzania ukichanganya na hulka za Kitanzania niko sahihi kusema kuwa CCM itatawala miaka mingi mbele.
Sasa ombi langu kwa chama cha Mapinduzi CCM ni kwamba msituletee tena Rais kama Magufuli.
Hafai.
Kamaraishiwa watu wenye uwezo wa kuongoza chukueni hata watu wa upinzani.
Magufuli hakupaswa kupewa nafasi kubwa kama ile.
Rais ana majibu ya hovyo sana kwa wananchi.
Unamwambiaje mwananchi "Kaa na mavi yako nyumbani".

7C76371A-742A-4451-9C95-383490FC0654.jpeg
 
Hiyo nayo imeingia kwenye history. Mpaka tukanyoshewa vidole vya ukandamizaji.

Miaka ya nyuma tukiwanyoshea vidole wabaguzi wa rangi na ma dictator popote ulimwenguni. Tuliwatukana SA , Zaire, Uganda , Malawi na hata US tulisimamia kucha kukataa uungwaji mkono makaburu. But this time yametukuta .
Hatukujua kuwa nasi ipo siku tunge nyooshewa vidole na hata kutengwa na jumuia za kimataifa.
 
Broo hata wapinzani nao ni CCM. Wale wana/mna hubiri upinzani ila wandani wenye vyama ni wazalendo wafia nchi. Baadhi yenu mmepumbazwa akili na hili hamlioni. Kwa mfumo huu wa miili kuwa upinzani huku roho ikiwaza CCM unatarajia meli ije airport?
Upo sahihi sana ila kumbuka ktk msafara wa mamba pia kenge nao wapo.

Hivyo kwa kuwa tanzania ni yetu sote basi wacha maisha yasonge.
 
Back
Top Bottom