Niwaambieni mapema tu nikija kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi Daraja la 'Tanzanite' nitaamuru libomolewe haraka

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,068
107,560
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
 
Kuna Tanzanite
Uwanja chato
Dodoma kuitwa jiji
Ilala kuitwa jiji ndani ya Dar
Ununuzi wa ndege
Kununua wapinzani.
Naomba Rais ajaye awe anawasikiliza wataalamu.

Hapo salenda ilikuwa kununua majengo ya watu kisha kujenga interchange kuliko huo ujinga wa daraja la majini.Hata wafadhili huwa wanafaidi kutukopesha kwa ujinga wa mtu mmoja.
 
GENTAMYCINE nikianzisha Mada ya 'Kiuchokozi' huwa napenda mno kupata Mrejesho wa Kimadini kama huu wako na wa wengine wenye kujua Kufikiri. Heko sana Mkuu.
 
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi ( akina GENTAMYCINE ) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho ( njia mbadala )

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu ( ambao naomba Uheshimiwe ) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake ( aliyelala nae Juzi kati hapa ) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija ( Faida ) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu ( ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu ) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele ( Kudumu ) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
Ndoto za mchana
 
Nadhani mtoa mada unakosa utaalamu wa mipango miji na jinsi ulimwengu unavyokwendna na maswala ya tabia nchi. Hivi unafikiriu siku Dar ikimezwa na bahari kama New Orlens ilivyomezwa na Katrina, daraja la zamani la Salender litabaki? au magogoni patakuwa salama? Labda ungejiuliza Dar ina kina gani kulinganisha na usawa wa bahari kupata picha kamili.
 
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
Rais mwaka 7190
 
Nadhani mtoa mada unakosa utaalamu wa mipango miji na jinsi ulimwengu unavyokwana na maswala ya tabia nchi. Hivi unafikiriu siku Dar ikimezwa na bahari kama New Orlens ilivyomezwa na Katrina, daraja la zamani la Salender litabaki? au magogoni patakuwa salama? Labda ungejiuliza Dar ina kina gani kulinganisha na usawa wa bahari kupata picha kamili.
Sasa nisingewachokozeni hivi nyie Wataalam hii Kitu ya Kitaalamu Mimi ningeijua lini? Asante kwa Kuchangia.
 
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
Nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani ingawaje suala lenyewe wengi hawajui kwamba limeingiliwa na AID POLITICS!
Daraja hili la TANZANITE kwa kweli ni misplaced AID toka serikali ya Korea Kusini.

Historia ya mradi wa hilo daraja ni kwamaba nasikia kuwa S. Korea yenyewe ilitaka mradi spectacular unoweza kuonekana Jijini na kutangaza jina la nchi yao.
Ikumbukwe kuwa S. Korea ilishatoa msaada wa daraja katika mto Malagarasi, daraja zuri tu, lakini liko porini huko.
Hivyo wakaomba kufadhili mradi unaoonekna hapa mjin DSM.

Wataalam wetu walitaka ipanuliwe Salender Bridge , lakini hapo ndo AID POLITICS zikaingia maana ,daraja la sasa limejengwa na japani, na isingekuwa vizuri kumfunika Mjapani katika iradi yake.
Ndipo ilipobuniwa hiyo route y baharini.
(hii ni kadri ya ka mbu kangu, kanakosikilizia)

Sasa madhara ya daraja hili la TANZANITE ni makubwa sana
MOJA, Eneo linapopita kule Oystrbay kutaharibika kwa kuelekeza traffic sehemu za kupumzika wazito. Hata thamani ya nyumba pale itapungua. Karibu na sehemu ya Oysterbay daraja linapotua kuna residence za balozi kadhaa, itabidi wahame!

PILI, huku hospitali kutulivu, Agha Khan, magari mengi na kelele karibu na hospiali.

TATU Traffic kubwa ya kutoka sehemu nyingine itaelekezwa kwenye hili draja, hivyo watu toka Kinondoni, Mikocheni, Mwananyamala, Msasani na hata wanaotka mbali watakwepa Ali Hassan Mwinyi Rd na kwenda kule. Hivyo eneo lote la Oysterbay litakuwa na high traffic counts.

NNE , was it worth it?
Hivi wahandisi wetu Wizara ya Ujenzi na TANROADS, waleshindwa kupata routes zingine ku decongest daraja la Salender. Kwa mfano daraja lindine toka Kinondoni kupitia Hananasif?

Kimsingi nakubaliana na hoja!
 
Lile daraja tulipigwa...

Kulikuwa hakuna sabbu ya msingi kujenga lile daraja...
Kwanza barabara za kule gari ni chache sana..
Huenda ni kweli kwamba hakukuwa na sababu ya kujenga daraja...

Lakini hilo la kusema barabara za kule gari ni chache ni uongo...

Ali Hassan Mwinyi Rd ndio barabara pekee inayoingiza magari wilaya ya Ilala/CBD kwa upande wa mashariki wa Dar...

Hiyo barabara kwa kiasi kikubwa imelemewa na ni muda mchache sana katika siku huwa inakuwa wazi (mchana katikati na usiku kuanzia saa 3 hivi)...

Njia ya haraka kupunguza foleni za kuelekea Posta ilikuwa ni kuhamisha maofisi makubwa na kuya allocate sehemu tofauti tofauti...yaani kuwa na CBDs tofauti tofauti...
 
BASI NASISI wananchi tutahakikisha uo URAIS huupati ng'ooo ili ndoto zako zakipuuzi zikatimie ukiwa kaburini, nchi za afrika ndyomaana haziendelei sabbu ya vinyongo vya watu kama hawa, m nkajua utasaport hata kidogo kilichofanywa na kuonekana,lkn wew unawaza kubomoa tu waliyofanya wenzako, huko dunia ya kwanza miundombinu iko thabiti sabbu wao hawanaga visas wala vinyongo vyakukomoa mtawala aliyepita lkn wanafnya kuboresha tu yaliyopo na kwel yanazid kuwa imara,.sasa tukirud uku tanzagiza kuna walafi wa madaraka ambao kimsingi hawatakiw kupewa hata theruthi ya uenyekiti wa mtaa maana hawacherewi kuharbu mambo, haya maamuz hata kichaa hawez fanya.....Mungu muweza sana watu wenye maamuzi yakipuuzi siku zote hukosa nafas ya kutekeleza upuuz wao
 
Mwandishi yangu marefu yanakupunguzia nini katika Akaunti yako?

Haya Maandishi yangu marefu yanakufanya ushindwe Kula na Familia yako?

JamiiForums kuna Ukomo wa Mtu kuanzisha Mada kiasi kwamba uchukie wanaozianzisha?

Nilipoanzisha huu Uzi umeona kuna mahala popote pale nimekuita Mpumbavu Wewe uje Kuchangia?

Kama ambavyo Wewe mwenye Ajira yako ya 'Kukazwa' hovyo unavyonishangaa Mimi 'Jobless' kuwa na muda mwingi wa kuwa hapa hata Mimi pia nakushangaa na nawashangaa wale wote mnaonichukia huo ( huu ) muda mrefu mnaotumia Kunifuatilia huwa mnautoa wapi.

JamiiForums kuna Kitufe cha 'Ignore' hasa kwa Mtu usiyempenda je, Wewe ( nyie ) huwa hamvioni?

Namalizia kwa Swali Kwako Muwakilishi wa 'Haters' wangu na Wapumbavu Wenzako wote kwamba ni kwanini kila Siku Watu mnaochukizwa na kukereka na uwepo wangu hapa Mtandaoni JamiiForums ndiyo mnaongoza Kunifuatilia 24/7 kwa kila Uzi ninaouanzisha au post ninayotuma?

Pamoja na kuwa 'Jobless' kama ulivyosema unaweza kusema ni lini nimekuja Kukuomba Chakula Kwako au Lifti katika Gari yako au hata tu Kukuomba Hela ya Mimi kununua Bando na kuwepo hapa JamiiForums 24/7?

Namalizia tu kwa Kukuambia kwamba so longer nipo Hai hivi basi GENTAMYCINE nitaendelea Kuanzisha Mada kadri nitakavyo na ukiona nimeacha basi jua kuwa nitakufa nimeondoka duniani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " na najua Mwenyezi Mungu kaniumba na Shani ( Tunu ) gani ambayo wengi wenu hamna ndiyo maana Kutwa mnaonyesha Chuki zenu Kwangu utadhani nimelala na Mama zenu Wazazi.

Pumbavu...!!!

Cc: Mchoraji Cyper255[/UUS
[/QUOTE]
Mtu anapo toa mada, asihukumiwe kwa mawazo yake. Saa nyingine naona Kama ni chuki binafsi au ufinyu wa akili, kwa mtu msomi anayesoma Sana vitabu n.k, hawezi kusema mtoa mada kaandika maneno mengi hivyo ni jobless. Si kweli...

Watu wa namna hii ata katika vitabu vya dini Kama Biblia, upenda kusoma kamstali kamoja tu paspo kusoma chapter nzima na kuelewa lengo la mwandishi.

Endelea kutupa habari
Mwandishi yangu marefu yanakupunguzia nini katika Akaunti yako?

Haya Maandishi yangu marefu yanakufanya ushindwe Kula na Familia yako?

JamiiForums kuna Ukomo wa Mtu kuanzisha Mada kiasi kwamba uchukie wanaozianzisha?

Nilipoanzisha huu Uzi umeona kuna mahala popote pale nimekuita Mpumbavu Wewe uje Kuchangia?

Kama ambavyo Wewe mwenye Ajira yako ya 'Kukazwa' hovyo unavyonishangaa Mimi 'Jobless' kuwa na muda mwingi wa kuwa hapa hata Mimi pia nakushangaa na nawashangaa wale wote mnaonichukia huo ( huu ) muda mrefu mnaotumia Kunifuatilia huwa mnautoa wapi.

JamiiForums kuna Kitufe cha 'Ignore' hasa kwa Mtu usiyempenda je, Wewe ( nyie ) huwa hamvioni?

Namalizia kwa Swali Kwako Muwakilishi wa 'Haters' wangu na Wapumbavu Wenzako wote kwamba ni kwanini kila Siku Watu mnaochukizwa na kukereka na uwepo wangu hapa Mtandaoni JamiiForums ndiyo mnaongoza Kunifuatilia 24/7 kwa kila Uzi ninaouanzisha au post ninayotuma?

Pamoja na kuwa 'Jobless' kama ulivyosema unaweza kusema ni lini nimekuja Kukuomba Chakula Kwako au Lifti katika Gari yako au hata tu Kukuomba Hela ya Mimi kununua Bando na kuwepo hapa JamiiForums 24/7?

Namalizia tu kwa Kukuambia kwamba so longer nipo Hai hivi basi GENTAMYCINE nitaendelea Kuanzisha Mada kadri nitakavyo na ukiona nimeacha basi jua kuwa nitakufa nimeondoka duniani.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE ( alias ) "Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " na najua Mwenyezi Mungu kaniumba na Shani ( Tunu ) gani ambayo wengi wenu hamna ndiyo maana Kutwa mnaonyesha Chuki zenu Kwangu utadhani nimelala na Mama zenu Wazazi.

Pumbavu...!!!

Cc: Mchoraji Cyper255
 
Kuna siku anaamka huna cha kupost ila unaokoteza tu.

Tafadhari bana.. utashusha heshima yako humu.
 
Nimetafuta Mantiki ( Logic ) ya Ujenzi wa Daraja hilo mpaka sasa sijaipata sana sana naona 'Maluweluwe' tupu tu.

Nimejaribu Kuzungumza na Wakandarasi na Wahandisi Waandamizi wamesema hilo Daraja ni Kazi bure tu japo 99% walishiriki Kikamilifu katika Mchakato wake mzima mbele ya Hayati Mmoja wa Mwezi Machi na Marehemu mwingine wa Mwezi Juni.

Siku hizi huwa mnasema Sisi (akina GENTAMYCINE) Wapiga 'Kelele' Mitandaoni tukitoa 'Dukuduku' basi tutoe Suluhisho (njia mbadala).

Sasa nami GENTAMYCINE nasema nikibahatika kuwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi hilo Daraja naamuru libomolewe kwani kuwepo Kwake hapo kwa mtazamo wangu (ambao naomba Uheshimiwe) ni 'Takataka' ndani ya Bahari.

Nitakachokifanya Mimi nikiwa Rais wa Tanzania ili Kuondoa Foleni Kubwa ya Watu wa Oysterbay, Masaki, Msasani, Kawe, Kunduchi mpaka Ununio na ikiwezekana hadi Bagamoyo kabisa ni Kuuza Madini baadhi na Ndege Mbili ambazo 'zinaduwaa' tu 24/7 pale JNIA kisha nanunua Meli za Mwendokasi kama Nne ambazo zitakuwa zinasafirisha Watu.

Akili Kubwa ambayo kidogo GENTAMYCINE ningeipongeza kwa wenye Dhamana ya Kikatiba ( japo sasa amelala Kimoja ) na Mwenzake (aliyelala nae Juzi kati hapa) ni kama ningesikia linajengwa Daraja refu la kutoka kati ya Bagamoyo hadi Zanzibar au Tanga hadi Zanzibar.

Kwa mtazamo wangu Maamuzi ya Ujenzi huu wa hili Daraja la 'Tanzanite' yalikuwa ni ya 'Kifisadi' zaidi pasipo Uhalisia na Matumizi ya Tija (Faida) kwa Watumiaji wengi na tafadhali Siku zingine tusirudie tena Kufanya Kosa kama hili kwani kwa wenye Akili timamu si tu wanatucheka bali Wanatudharau mno.

Na kabla sijasahau nikiwa Rais wa Tanzania kwa Tiketi ya Mgombea Binafsi GENTAMYCINE sitoishia tu Kuamuru 'Kubomolewa' kwa hilo Daraja la 'Tanzanite' bali pia nitaamuru upesi sana Mji Mkuu wa Tanzania ubadilishwe 'Kisheria' na Dar es Salaam ndiyo uwe Mji Mkuu na siyo huko Kijijini Mkoani Dodoma.

Ukiusoma Uzi huu na ukipandwa na Hasira nao tafadhali nakushauri tu tafuta Sumu ya Panya au ya Kunguni Unywe Ufe kabisa usiendelee Kukereka nami.

Ila nitapambana hadi Tanzania kuwe na Sheria ya Mgombea Binafsi wa Urais ambapo kwa Kipaji changu Kikubwa cha Ushawishi, Mvuto wa Kiuwasilishaji na nilivyobarikiwa na Mwenyezi Mungu 85% ya Watanzania wenye Akili Timamu (ukiachana tu na 15% wenye Uwendawazimu) watanipigia Kura.

Na hatimaye Tanzania itapata bahati nyingine ya Kuongozwa na Mzanaki kutoka Mkoani Mara (Musoma) ambapo najua baadae Watanzania wote mtaniomba niwe Rais wenu wa Milele (Kudumu) kutokana na Uongozi wangu Uliotukuka.
Wewe jamaa ndiye unasababisha sisi wananchi wenye akili timamu wa nchi hii kutukanwa eti tunapiga kelele tunapotoa hoja!
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom