Wakati tupo kwenye zoezi la kupanga wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika miji yetu, ili zoezi lifaulu lazima walaji wahusike kwa maana Serikali kupitia tasisi zake za serikali ya...
Hivi kwenye shirika au kampuni ikiwa kila siku CEO anakuwa na tabia ya kuwaita ofisini kwake mameneja wote, makarani wote, ma IT wote, maoperator wote, masekretari wote, walinzi, madereva, maofisa...
Trust me ndugu zangu ilipofika awamu ya tano ilionekana kujenga madaraja, barabara kununua mandege cash ndiyo sifa na vipeperushi vilipamba sana sana tuuuuu
Aawamu ya nne alijitahdii ku balance...
20 October 2021
Dar es Salaam. Vyuo vikuu vya ndani vinakabiliwa na upungufu wa wahadhiri wenye sifa, kwa mujibu wa wakuu wa vyuo.
Siri hiyo imefichuliwa wakati wadau wa elimu wakieleza wasiwasi...
Nathubutu kusema sijaona tofauti ya serikali ya JK na JPM wote kwa pamoja walianza majukumu yao ya Urais kwa kasi kubwa huku wakibeba matumaini lukuki toka kwa wananchi wao.
Nani asiyekumbuka...
Kwa yeyote anayeifuatilia vyema CHADEMA bila unafiki na bila mhemuko atakubaliana na ukweli kuwa chama kiko ICU.
Baadhi ya makamanda wenye kuona mbali wameshaliona hili na wengi wamelieleza...
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya...
Rais Samia amesema hajateua mkurugenzi mkuu mpya wa PSSSF ( Public Service Social Security Fund) na kumuacha yule yule aliyepo kwa sababu mfuko huo una hali mbaya kifedha hivyo anataka uchunguzi...
Maana ya uzinduzi ni pale mradi unapoanza au pale ulipokamilika.
Ni aibu Rais kufunga safari kwenda kufanya uzinduzi wa maji ya bilioni 17 Longido halafu unasema kufikia Januari 2022 mtapata...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kuwapatia fedha Tsh. 420,000,000/= za mpango wa...
Kuna mashirika ya Serikali kutokana na wajibu wake ni kama idara za Serikali. Yanatakiwa yagharamikiwe na hazina kuu. Yanafanywa mashirika ili kuweza kudhibiti matumizi na kwamba iwepo tija...
Shirikisho la Umoja wa Machinga Tanzania (Shiuma) limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan akutane nao kumweleze kero walizonazo ili ajue namna ya kuzifanyia kazi.
Hayo yamesemwa leo Jumatano Oktoba...
Nawauliza Watanzania, nchi hii ni maskini kweli au inakosa viongozi wenye maono?
Kabla ya Magufuli kuingia madarakani Kikwete alitembeza sana bakuri ughaibuni,tulivyoambulia ni pamoja na...
Kazi inaendelea ujenzi wa madarasa 15,000 nchi nzima unaendelea, leo mkoa wa Iringa wamepokea fedha kwa ajili ya ujenzi huo.
Haya ni matokeo ya kazi na usimamizi mzuri wa makusanyo ya Kodi za...
Kwakweli inasikitisha kweli kwa kinachofanywa na TARURA katika barabara za Kata ya Kitunda, Mwanagati na maeneo jirani na kata hizo naweza kusema ni uhuni na kutukosea wananchi.
Wameweka bango...
Mada Fikirishi
Katiba yetu inaongelea kifo cha Rais akiwa madarakani lakini haiongelei Mgombea Urais ambaye tayari ni Rais akifa akiwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu. Natoa mfano ili uelewe kwa...
Mkutano wa kati ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Jeshi la Polisi na wadau wa siasa nchini uliopangwa kufanyika Dodoma wiki hii. Sababu za kuahirishwa kwake inaelezwa ni ili kutoa nafasi zaidi kwa...