Suala la wamachinga lihusishe walaji ili lifanikiwe

LUS0MYA

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
862
1,097
Wakati tupo kwenye zoezi la kupanga wafanyabiashara wadogo maarufu kama wamachinga katika miji yetu, ili zoezi lifaulu lazima walaji wahusike kwa maana Serikali kupitia tasisi zake za serikali ya mitaa na pòlisi lipige marufuku pia walaji kutokununua bidhaa katika maeneo yasiyo rasmi na kuweka adhabu na vifungo hata vya nje kama ilivyo kwa wafanyabiashara watakaojaribu kurudi barabarani.

Hii itwahakikishia wateja wale wafanyabiashara waliohamia sehemu rasmi.walaji walazimishwe kufanya manunuzi katika sehemu rasmi kama masoko na hayo maeneo mapya ya wamachinga.
 
Tumekosea toka kwa kila nyanja. Miji yetu haijapangwa kwenye mfumo maalum kama Zip code, streets etc. Wananchi hawapo kwenye central system ya kuwatambua kama social security numbers. Kwa iyo inakuwa vigumu hata kwenye swala la machinga.

Tulikosea tu toka mwanzo.
 
Back
Top Bottom