Hayati Magufuli alisema ujenzi wa Daraja la Selander umekorofishwa

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,137
2,779
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani)

Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa waachwe huru,akina Rugemalira,ambao hata hivyo hawakuachiwa.

Kwa Katiba ya Uingereza Liz Devi angesema anataka mahabusu waachiwe huru,wangeachiwa huru baada ya was 24. Kwa sababu msingi wa Katiba ya Uingereza ni kwamba the King can do no wrong.

Lakini hapa watu hawataki kufuata amri za dikteta uchwala.

Unaona, hiyo video nimeiweka hapo,sijui kama itaonekana, lakini Magufuli amesikitika sana hapo mpaka inakufanya ufikirie kwamba labda mwili unahitaji kufukuliwa kujua kitu gani kilimuua.

 

Attachments

  • Screenshot_20211021-143838.jpg
    Screenshot_20211021-143838.jpg
    38.9 KB · Views: 2
Back
Top Bottom