Wasalam wanajamvi. Kwa miaka kadhaa sasa kumekuwa na tatizo la ajira Kwa wahitimu wa vyuo mbali mbali. Wengi wa vijana hao wamekuwa wakijitolea kwenye Idara na Taasisi mbali mbali za Serikali Kwa...
Kiongozi wa Mihimili katika mitatu ya utawala iliyopo, Mheshimiwa Job Ndugai amesikika akihoji:
Kwamba kiongozi Mkuu wa bunge linalotunga sheria haujui uhuru huo. Labda hata wale vinara wa...
Hali mtaani inakuwa mbaya zaid na zaidi.
Biashara haziendi wateja amna hatuelewi nn shida?
Njoo kariakoo asubuhi mpaka jioni biashara zimegoma.
Njoo Sinza madukani maduka yako wazi kuanzia...
Waziri Dkt .Kijaji Avitaka Vyombo vya Habari Kutangaza Sherehe za Miaka 60 ya Uhuru
Na. Paschal Dotto-MAELEZO
Waziri wa Habari, Mwasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Ashatu Kijaji amesema...
Mabaya mengi ya awamu ya tano katika nchi hii yameanza kulipuka katika jamii ya watanzania na yataendelea kuonekana.
Moja ya mabaya hayo ni kuto kuajiri au kutoa njia mbadala kwa vijana wanaotoka...
Naweka wazi jambo hili ili niwe huru. Niwafuatilie wagombea wengine ili nimpate wa kumpa kura. Nilianzia chamani mwangu kumfuatilia mgombea wetu Dr. Magufuli. Dr. Magufuli umeniangusha na...
Hadi sasa nimeona watu wa aina tatu wakitafuta namna yoyote ili wawe sehemu ya Serikali yako, wanatumia kila mbinu.
Kuna wale wabunge ambao 2020 walikatwa, wakiwemo wa viti maalum. Hawa wana...
Mimi binafsi ni mfuasi wa ushirikiano na watu wengine, siamini kabisa kwenye kujitenga. Hivyo hatua yoyote inayochukuliwa kuimarisha mahusiano naunga mkono 100%
Ni kweli mahusiano yetu hayakuwa...
Arusha, Tanzania.
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe ameeleza mafanikio yatakayopatikana kutokana na kufunguliwa Kwa vituo vipya vitano vya umahiri kwenye mikoa ya Arusha na Kilimanjaro...
Hawa jamaa ndiyo walijua namna ya kufanya siasa na kuifanya ccm ichanue tena ndani ya mioyo ya watanzania. Walijua waseme nn, wakati gani na kwa faida gani?
CCM ilinga'ara na kupendwa sana...
Tangu ukaripie katika katika ya umeme kidogo walikusikia ila sasa wameanza upya kukata, hawatoi notice ina maana hawajiandai jamii kuwa lini na wapi umeme unakatika.
Maeneo mengi yanayopokea...
Watanzania wenzangu,
Aliyoyafanya kwa muda mfupi aliokaa madarakani ni makubwa na ameishangaza dunia
Kwa kutambua hilo sisi Watanzania tumeamua kwenda nae hadi 2030 na huo ndiyo utamaduni wetu...
Machinga wameondolewa nini kitafuata? Kwanza niipongeze serikali kwa zoezi hili zuri. Kwa kweli ilikuwa kero na sijui tungefika wapi na wababe hawa, maana walijaa barabarani kama magari, mitaroni...
Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini
Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki...
Wadau nawasabahi,
Tunaziomba mamlaka zote zinazohusika na zoezi la kuwaondoa machinga kuwa zoezi hili liwe la kudumu kwani mazoezi kama haya huwa ya nguvu ya soda kutokana na kufanyika kisiasa...
Unamiliki mali nyingi sana, unamiliki mashamba pori mengi sana lakini bado una tamaa ya kuendelea kuchochea migogoro ya mashamba na maeneo waliko wananchi kisa hayo maeneo yawe yako kwa nguvu...
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mhe. Kusiruka.
Yeyote mwenye...
Tanzania ni nchi moja katika zinazoangukia kwenye ule ukanda ambao wananchi wake hawana furaha katika nchi zao wenyewe.
Pamoja na sisi ni Uganda, Rwanda, Burundi na Zimbabwe.
Hawa wengine si...
Leo Sudan viongozi Wanashikiliwa na waasi wanao ipinga serikali, majuzi hapa tulisikia mapinduzi huko Guinea.
Mabara mengine habar hizi ni nadra sana kuzisikia Kama si walisha achana nayo. Swali...
Maneno ya hekima kabisa haya ya baba askofu. Kwa hakika Askofu Bagonza ana hoja nzito:
Kwa hakika kumvisha JK yanayojiri awamu ya sita ni kumkosea sana. Anamalizia baba askofu kwa kusema...