Fikra za Magufuli kwenye TTCL hazina tija

Kamundu

Platinum Member
Nov 22, 2006
6,596
8,738

Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi sana Tanzania bado wanajua uchumi kwa kujifurahisha na kushabiki lakini uchumi wa mtaji una utaalamu wake ambao usikoufuta utapata shida kama nchi.

1. Ni kujua kwanini TTCL iko nyuma mpaka leo pamoja na kuwa na yote. Ni kwasababu simu ni technology na huwezi kubaki tu Tanzania ukafikiri utafaniliwa hivyo hata tutoe pesa hatuwezi kutoa pesa kwa TTCL kiweza kushindana na Voda phone kwenye technology.

2. Kampuni ambayo inahitaji mgao haitakiwi kutoa dividends kama TTCL kwa serikali. Kampuni ambayo inakuwa inabakiza mtaji kukuza kampuni au kitaalaumu wanaita retained earnings. Yaani kampuni ikishapata net profit inaamua igawe au ibakie na faida ili iwekeze kwenye kampuni. Cha kushangaza wakati huohuo TTCL inaomba mtaji😂 yaani ni kichekesho.

3. Ukichukulia kodi za wote waajiriwa, kodi za kampuni na maendeleo kampuni za simu zina faida kubwa sana nchini lakini cha ajabu serikali imeanza kuwapa shida wakurugenzi na kesi za bandia ili tu kusaidia TTCL. Serikali mjue hakuna kampuni itafanikiwa Tanzania kijamaa na ni vizuri mruhusu ushindani zaidi badala ya kukumbatia kampuni ambayo itakuwa hasara kwa taifa. Yaani tupewa ths billion 2 halafu wanaomba billioni 60 kama mtaji.

Wasiwasi wangu mkubwa ni fikra ambazo si za kweli na hazijawahi kufanikiwa kwamba kampuni za serikali ni nzuri kwa jamii hasa kwa nchi ambayo hatuna uwekezaji wa kutosha. Haya ndiyo yaleyale ya korosho.
 
TTCL haiwezi kupambana kibiashara na haya makampuni binafsi. ukiangalia bajeti ya TTCL kwa mwaka na bajeti za makapuni hayo ndio utajua kwa nini wanataka Trilioni 1.7.

Wako hatua kama 100 nyuma sasa wanataka kubebwa na dreamliner wawavuke. ni ngumu sana.
Hata wakipewa hizo hela bado hawatoweza, mpaka wafikie viwango vya utendaji vya tigo tu kwa mfano itabidi waondoe asilimia tisini ya wafanyakazi ilionao sasa ili kubadirisha utamaduni wa kampuni. wanaweza?

wao wanadhani hela ndio suluhisho, ukitaka kujua matatizo yao wala usiangalie mbali, look at their board chairperson and their Managing Director alafu angalia igizo lao la leo. then you know they are failures.
 
Inabidi uwe na akili za ki-ccm ccm ndio uamini kuwa TTCL hii ya hapa kwetu inazalisha faida kiasi cha kutoa gawio wakati hata financial statements haziwekwi hadharani.
 
Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi sana Tanzania bado wanajua uchumi kwa kujifurahisha na kushabiki lakini uchumi wa mtaji una utaalamu wake ambao usikoufuta utapata shida kama nchi.

1. Ni kujua kwanini TTCL iko nyuma mpaka leo pamoja na kuwa na yote. Ni kwasababu simu ni technology na huwezi kubaki tu Tanzania ukafikiri utafaniliwa hivyo hata tutoe pesa hatuwezi kutoa pesa kwa TTCL kiweza kushindana na Voda phone kwenye technology.

2. Kampuni ambayo inahitaji mgao haitakiwi kutoa dividends kama TTCL kwa serikali. Kampuni ambayo inakuwa inabakiza mtaji kukuza kampuni au kitaalaumu wanaita retained earnings. Yaani kampuni ikishapata net profit inaamua igawe au ibakie na faida ili iwekeze kwenye kampuni. Cha kushangaza wakati huohuo TTCL inaomba mtaji yaani ni kichekesho.

3. Ukichukulia kodi za wote waajiriwa, kodi za kampuni na maendeleo kampuni za simu zina faida kubwa sana nchini lakini cha ajabu serikali imeanza kuwapa shida wakurugenzi na kesi za bandia ili tu kusaidia TTCL. Serikali mjue hakuna kampuni itafanikiwa Tanzania kijamaa na ni vizuri mruhusu ushindani zaidi badala ya kukumbatia kampuni ambayo itakuwa hasara kwa taifa. Yaani tupewa ths billion 2 halafu wanaomba billioni 60 kama mtaji.

Wasiwasi wangu mkubwa ni fikra ambazo si za kweli na hazijawahi kufanikiwa kwamba kampuni za serikali ni nzuri kwa jamii hasa kwa nchi ambayo hatuna uwekezaji wa kutosha. Haya ndiyo yaleyale ya korosho.
Rekebisha hapo ni tirion 1.7 na sio bilioni 60.
 
Hilo shirika ameshalilaani jiwe lazima lifee, hakuna mtz mwenye akili timamu atatumia ttcl, for what??
 
1. lengo la makampuni ya umma ni kutoa huduma( service) zaidi ya faida. Huduma inayotolewa na makampuni ya umma ni muhimu kuliko nia na lengo la kupata faida. Huduma hiyo inatakiwa kuwa na ubora na viwango kama kampuni binafsi. makampuni ambayo yanatumia faida iliyobaki yaani retained earning kukuza mtaji na faida ni binafsi. ni haki ya msingi kwa TTCL kuomba mtaji kwa sababu lengo lake kubwa ni kutoa huduma na si faida.

2. itakuwa ni ujinga mkubwa kulinganisha makampuni yenye malengo makuu tofauti, moja inalengo la kutoa hudama na nyingine lengo lake kuu ni kupata faida. hakuna sehemu serikali inapotaka kushindanisha TTCL na kampuni binafsi kwa sababu moja inapeleka huduma mpaka vijijini na nyingine inatafuta wateja mijini tu kwa lengo la kupata faida.

3.kampuni ni zaidi ya wakurugenzi waliopo, hivyo kuhusisha wakurugenzi wa hayo makampuni mengine waliofunguliwa mashtaka na kampuni zao ni kukosa weledi. kama serikali ingekuwa na nia ya kuua kampuni nyingine ibaki TTCL tu, ingeweza na taasisi moja kwa moja na sio mkurugenzi mmoja ambaye ni mfanyakazi tu na si mwanahisa.
 
Kwanza
TTCL haiwezi kupambana kibiashara na haya makampuni binafsi. ukiangalia bajeti ya TTCL kwa mwaka na bajeti za makapuni hayo ndio utajua kwa nini wanataka Trilioni 1.7.

Wako hatua kama 100 nyuma sasa wanataka kubebwa na dreamliner wawavuke. ni ngumu sana.
Hata wakipewa hizo hela bado hawatoweza, mpaka wafikie viwango vya utendaji vya tigo tu kwa mfano itabidi waondoe asilimia tisini ya wafanyakazi ilionao sasa ili kubadirisha utamaduni wa kampuni. wanaweza?

wao wanadhani hela ndio suluhisho, ukitaka kujua matatizo yao wala usiangalie mbali, look at their board chairperson and their Managing Director alafu angalia igizo lao la leo. then you know they are failures.
Gawio lenyewe mwaka mzima ni idd usd one million, TTCL wangeendelea kukodisha services zao kwa makampuni binafsi wangepata zaidi ya hiyo na hayo makampuni yangetengeneza faida maradufu, tunaingizwa chaka kwa kuamini TTCL inaweza kushindana na sector binafis hii ndoto inatoka kuzimu, vodacom tanzania mwaka 2018 walitengeneza faida ya 134 billioni, na leseni hiyo waliinunua kutoka TCRA kwa usd zaidi ya 20 mil. Nashindwa kuelewa tunataka nini, watoto kazi hawana uchumi bado tunaupigia punyeto
 
Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi sana Tanzania bado wanajua uchumi kwa kujifurahisha na kushabiki lakini uchumi wa mtaji una utaalamu wake ambao usikoufuta utapata shida kama nchi.

1. Ni kujua kwanini TTCL iko nyuma mpaka leo pamoja na kuwa na yote. Ni kwasababu simu ni technology na huwezi kubaki tu Tanzania ukafikiri utafaniliwa hivyo hata tutoe pesa hatuwezi kutoa pesa kwa TTCL kiweza kushindana na Voda phone kwenye technology.

2. Kampuni ambayo inahitaji mgao haitakiwi kutoa dividends kama TTCL kwa serikali. Kampuni ambayo inakuwa inabakiza mtaji kukuza kampuni au kitaalaumu wanaita retained earnings. Yaani kampuni ikishapata net profit inaamua igawe au ibakie na faida ili iwekeze kwenye kampuni. Cha kushangaza wakati huohuo TTCL inaomba mtaji😂 yaani ni kichekesho.

3. Ukichukulia kodi za wote waajiriwa, kodi za kampuni na maendeleo kampuni za simu zina faida kubwa sana nchini lakini cha ajabu serikali imeanza kuwapa shida wakurugenzi na kesi za bandia ili tu kusaidia TTCL. Serikali mjue hakuna kampuni itafanikiwa Tanzania kijamaa na ni vizuri mruhusu ushindani zaidi badala ya kukumbatia kampuni ambayo itakuwa hasara kwa taifa. Yaani tupewa ths billion 2 halafu wanaomba billioni 60 kama mtaji.

Wasiwasi wangu mkubwa ni fikra ambazo si za kweli na hazijawahi kufanikiwa kwamba kampuni za serikali ni nzuri kwa jamii hasa kwa nchi ambayo hatuna uwekezaji wa kutosha. Haya ndiyo yaleyale ya korosho.

Nilifikiri utakuja na mbadala kumbe kama kawaida yenu ni kulalamika tu.
 
Kwanza
Gawio lenyewe mwaka mzima ni idd usd one million, TTCL wangeendelea kukodisha services zao kwa makampuni binafsi wangepata zaidi ya hiyo na hayo makampuni yangetengeneza faida maradufu, tunaingizwa chaka kwa kuamini TTCL inaweza kushindana na sector binafis hii ndoto inatoka kuzimu, vodacom tanzania mwaka 2018 walitengeneza faida ya 134 billioni, na leseni hiyo waliinunua kutoka TCRA kwa usd zaidi ya 20 mil. Nashindwa kuelewa tunataka nini, watoto kazi hawana uchumi bado tunaupigia punyeto
Lazima waanze somewhere wewe ulitaka leo watoe gawio USD Trillion kumi?
 
1. lengo la makampuni ya umma ni kutoa huduma( service) zaidi ya faida. Huduma inayotolewa na makampuni ya umma ni muhimu kuliko nia na lengo la kupata faida. Huduma hiyo inatakiwa kuwa na ubora na viwango kama kampuni binafsi. makampuni ambayo yanatumia faida iliyobaki yaani retained earning kukuza mtaji na faida ni binafsi. ni haki ya msingi kwa TTCL kuomba mtaji kwa sababu lengo lake kubwa ni kutoa huduma na si faida.

2. itakuwa ni ujinga mkubwa kulinganisha makampuni yenye malengo makuu tofauti, moja inalengo la kutoa hudama na nyingine lengo lake kuu ni kupata faida. hakuna sehemu serikali inapotaka kushindanisha TTCL na kampuni binafsi kwa sababu moja inapeleka huduma mpaka vijijini na nyingine inatafuta wateja mijini tu kwa lengo la kupata faida.

3.kampuni ni zaidi ya wakurugenzi waliopo, hivyo kuhusisha wakurugenzi wa hayo makampuni mengine waliofunguliwa mashtaka na kampuni zao ni kukosa weledi. kama serikali ingekuwa na nia ya kuua kampuni nyingine ibaki TTCL tu, ingeweza na taasisi moja kwa moja na sio mkurugenzi mmoja ambaye ni mfanyakazi tu na si mwanahisa.
Sasa gawio la nini kama ni service based company!!
 
pamoja na yote lakini bado wanajitahidi ndo kwanza wameanza kama siyo miaka 2 au mi 3 katika soko,wangekuwa wameanza miaka ya 2000 -2005 wangekua mbali kuliko hata hao mnao walinganisha nao
 
Kwanza
Gawio lenyewe mwaka mzima ni idd usd one million, TTCL wangeendelea kukodisha services zao kwa makampuni binafsi wangepata zaidi ya hiyo na hayo makampuni yangetengeneza faida maradufu, tunaingizwa chaka kwa kuamini TTCL inaweza kushindana na sector binafis hii ndoto inatoka kuzimu, vodacom tanzania mwaka 2018 walitengeneza faida ya 134 billioni, na leseni hiyo waliinunua kutoka TCRA kwa usd zaidi ya 20 mil. Nashindwa kuelewa tunataka nini, watoto kazi hawana uchumi bado tunaupigia punyeto
Sure, Haya makampuni kitengo cha huduma kwa wateja yameajiri vijana wakitanzania wengi sana.
 
pamoja na yote lakini bado wanajitahidi ndo kwanza wameanza kama siyo miaka 2 au mi 3 katika soko,wangekuwa wameanza miaka ya 2000 -2005 wangekua mbali kuliko hata hao mnao walinganisha nao
Hapana TTCL wameanza siku nyingi, kama mwaka 2007 hivi kama sijakosea, walichokosea wao wakaja na technology ya CDMA, wakati wenzao, Voda, tigo na Zain wanatumia GSM. hapo tu ikawaangusha, kwani ilikuwa Lazima ununue simu yao ndiyo utumie line yao. Watanzania wakasusa. Ndiyo hivi juzi tu wakasituka ndiyo Kuja na GSM na 4G.
 
Nimesikitika sana leo kumuona Raisi Magufuli akiongelea TTCL kijamaa. Mawazo yake ambayo anafikiri ni mazuri kwa nchi si mazuri na ni mabaya sana kwa uchumi wa mtaji. Simshangai maana watu wengi sana Tanzania bado wanajua uchumi kwa kujifurahisha na kushabiki lakini uchumi wa mtaji una utaalamu wake ambao usikoufuta utapata shida kama nchi.

1. Ni kujua kwanini TTCL iko nyuma mpaka leo pamoja na kuwa na yote. Ni kwasababu simu ni technology na huwezi kubaki tu Tanzania ukafikiri utafaniliwa hivyo hata tutoe pesa hatuwezi kutoa pesa kwa TTCL kiweza kushindana na Voda phone kwenye technology.

2. Kampuni ambayo inahitaji mgao haitakiwi kutoa dividends kama TTCL kwa serikali. Kampuni ambayo inakuwa inabakiza mtaji kukuza kampuni au kitaalaumu wanaita retained earnings. Yaani kampuni ikishapata net profit inaamua igawe au ibakie na faida ili iwekeze kwenye kampuni. Cha kushangaza wakati huohuo TTCL inaomba mtaji yaani ni kichekesho.

3. Ukichukulia kodi za wote waajiriwa, kodi za kampuni na maendeleo kampuni za simu zina faida kubwa sana nchini lakini cha ajabu serikali imeanza kuwapa shida wakurugenzi na kesi za bandia ili tu kusaidia TTCL. Serikali mjue hakuna kampuni itafanikiwa Tanzania kijamaa na ni vizuri mruhusu ushindani zaidi badala ya kukumbatia kampuni ambayo itakuwa hasara kwa taifa. Yaani tupewa ths billion 2 halafu wanaomba billioni 60 kama mtaji.

Wasiwasi wangu mkubwa ni fikra ambazo si za kweli na hazijawahi kufanikiwa kwamba kampuni za serikali ni nzuri kwa jamii hasa kwa nchi ambayo hatuna uwekezaji wa kutosha. Haya ndiyo yaleyale ya korosho.
Umelalamika tu ,no way foward kwa muheshimiwa rais, acha wafanyie kazi fikra zake ,zishindwe ushangilie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom