Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Aweso kila siku yuko kwenye kamera na waandishi na yaonekana rais anaamini ni mtendaji mzuri. Kwa tabia za Waziri huyu na watendaji wa wizara hii, tatizo la maji halitakwisha nchi hii...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Huyu alikuwa anaonekana kama mmojawapo wa wabunge wasio na maana sana bungeni. Lakini kwa jana ameonekana kama vile anaanza kutumika kama game changer! Wangeongea aliyanena jana akina Nape na...
3 Reactions
53 Replies
4K Views
Anita Valerian Mtaro shahidi #4 mkristo mwuuza pombe za kienyeji, alitimba mahakamani incognito ndani ya vazi la kiislam akiwa pia katupia barakoa lenye kumwachia macho ya kuweza kuona peke yake...
21 Reactions
109 Replies
10K Views
Msanii Khalid Mohamed aka Top In Dar (TID) ameibuka na kutaka chama cha Demokrasia na Maendeleo kimlipe kwa kutumia neno "Ni Yeye" katika kampeni zao. Msanii TID anadai neno "niyeye" ni ubunifu...
16 Reactions
158 Replies
17K Views
Hali hii imeanza kuleta mashaka ndani ya chama cha zamani baada ya mtaji wake wa miaka mingi ambao ni wazee kuanza kumeguka kwa kasi . Shida kubwa inayoikumba ccm Kyela ni sera yake mbovu ya...
2 Reactions
1 Replies
807 Views
INFORMATION IS POWER Miaka yote mkoloni ametumia udhaifu wa information kuwatawala waafrika na viongozi wa kiafrika bila kujua wameingia kwenye mtego wa mabeberu kwa kuwaminya wananchi wao...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya mjadala uliozuka kutokana na shahidi wa kesi ya Mbowe, nikalazimika kuipitia sheria inayolinda faragha za watu kwa nchi za Ulaya ambayo ni GDPR nikakutana na Haki ya Kusahaulika. Haki...
1 Reactions
3 Replies
517 Views
Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua...
58 Reactions
340 Replies
53K Views
Kuna baadhi ya makamanda wameniambia sera ya Bima ya Afya kwa Wote ni ya Chadema na kwamba Hayati Magufuli aliikopa kutoka Ufipa akaitia kwenye Ilani ya uchaguzi ya CCM. Mimi naamini hii ni sera...
1 Reactions
4 Replies
977 Views
Sasa ni wazi kwamba Watanzania wamechoshwa na hali duni , na wala hawapigi kelele tena , hivi sasa ni vitendo tu . Hebu angalieni wenyewe foleni ya Chadema Digital Kahama .
22 Reactions
81 Replies
5K Views
Jeshi la polisi limeendelea na danadana zake kukwepa kumpeleka msanii Optter Mahakamani huku likiendelea kuzuia dhamana yake. Wakili kutoka kituo cha THRDC amepeleka hati ya kimahakama kuwataka...
6 Reactions
53 Replies
7K Views
Rais wa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson katika masuala ya Biashara kati ya Uingereza na Tanzania, Lord John...
7 Reactions
222 Replies
57K Views
JOPO la mawakili zaidi ya Saba leo wamefungua kesi ya kikatiba katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Dar es Salaam, kupinga baadhi ya vipengele katika Sheria ya Makosa ya Mtandaoni ya mwaka...
7 Reactions
28 Replies
5K Views
Sitaki kuwa sehemu ya laana ya nchi kwa kuhudhuria shughuli ambayo wahudhuriaji wengine ni miongoni mwa Watu waliomtesa Maalim Seif wanaofahamika hata na vipofu . Sitashiriki dhambi hiyo .
9 Reactions
29 Replies
2K Views
CHADEMA imajiandaa vipi kwenye mfumo wa mawasiliano hasa Tundu Liss? Nitashangaa sana kama Tundu Lissu anatumia. Vodacom, Tigo, Airtel, Halotel, Zantel au TTCL. Ni lazima Tundu Lissu atumie...
29 Reactions
52 Replies
6K Views
Rais Samia atakuwa Mgeni rasmi katika maazisho ya Hayati Maalim Seif Hamad Shalif Mjini Zanzibar. Maazimisho yatafanyika Golden Tulip Airport Hotel Zanzibar kuanzi tarehe 05 hadi 06 Novemba 2021...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wale wachimbaji wa madini watakuwa wanafahamu unavozidi kuchimba kitaalam kila ukusanyaji wa viroba ndivo unavozidi kuibua madini ya aina mbali mbali. Kwenye uchimbaji mnapozidi kuchimba kila...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ndio Taarifa mpya iliyosambazwa na Chadema kwa watu wote Duniani . KWA FAIDA YA WANA JF na WATANZANIA WENGINE Ikumbukwe kwamba Mgombea ubunge wa Chadema kwenye ulioitwa uchaguzi mkuu wa 2020...
6 Reactions
39 Replies
3K Views
Mgombea wetu wa Bagamoyo, Ndugu Vitali Mathiasi Maembe ameondolewa kuwania Ubunge wa Jimbo hilo. Majimbo mengine ya Pwani ambayo Wagombea wetu wamekatwa ni Mkuranga na Kibiti. #Hatukubali
1 Reactions
33 Replies
5K Views
Wiki hii mahakama kuu imetoa hukumu ya kesi baina ya bernad membe vs cyprian musiba au "Mwanaharakati huru" kesi ambayo ilifunguliwa na Bernad Membe. Hukumu ya kesi hiyo imetolewa na musiba...
5 Reactions
29 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…