Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nauliza tu swali kufa kwa TISS je shida ni wenyewe au CCM?
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo. Amesema...
3 Reactions
6 Replies
371 Views
Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na...
5 Reactions
38 Replies
978 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 kwa kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia...
3 Reactions
15 Replies
518 Views
Tanzania na nchi nyingi za ulimwengu huu zinategemea vyama vya siasa kuzalisha viongozi wa kitaifa Vyama vya siasa vina siasa ndani ya chama na vina siasa dhidi ya vyama vingine shindani hivyo...
12 Reactions
38 Replies
812 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Zimbabwe, Mheshimiwa Jenerali Mstaafu Dkt. C.G.D.N. Chiwenga, amefanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini humo, Mheshimiwa CP Suzan S...
2 Reactions
4 Replies
175 Views
Ijumaa Kuu Katika Siku hii takatifu ya Ijumaa Kuu, Mhe. Ghati Zephania Chomete anawatakia Wakristo wote, wananchi wa Mkoa wa Mara na Watanzania kwa ujumla tafakari ya kina, amani na unyenyekevu...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
  • Redirect
Kizigha anaenda kuteuliwa kua waziri
5 Reactions
Replies
Views
Kwa ufupi sana kipindi majanga yanatokea hapo mgodini MSASA GEITA nilikuwepo na niliona kila kitu hadi jioni inafika nilikuwepo kuangalia kila hatua iliendelea... Itoshe kusema taarifa...
3 Reactions
7 Replies
271 Views
  • Redirect
Wakuu msilalamike sana, kwani kitu gani kipya kinachizidi kuua watu zaidi ya 10000!? Haya mengine ni madogo, mtu aliyeweza kufanya hayo hawezi kushindwa kufanya kingine chochote l.
5 Reactions
Replies
Views
UONGOZI NI KUSIKILIZA: SOMO KUTOKA KWA DKT. MWIGULU NCHEMBA Katika siasa na utumishi wa umma, nguvu ya kiongozi mara nyingi hupimwa kwa uwezo wa kuzungumza na kuamua. Hata hivyo, kipimo cha juu...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Naomba mods muache huu uzi kwa faida ya wenzetu wa EWURA. Kwa nyinyi kukusanya maoni juu ya kuoingezea IPTL mkataba naamani mtakuwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria kwani bila shaka sheria...
15 Reactions
82 Replies
6K Views
Rais Samia na mwanao andaeni mlio Rais Samia na mwanao Abdul andaeni mlio mtakaokuwa mkilia pale muda wa kukandwa kwenu utakapofika kwa madudu mnayoyafanya mkiwa Ikulu. 1. Kisiasa Kisiasa Rais...
42 Reactions
124 Replies
3K Views
  • Featured
Spika wa Bunge, Mussa Zungu amemuagiza Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi kukutana na Kamati ya Bunge ya Nishati ili kujua hatma ya hali na mwenendo wa kupanda kwa bei ya mafuta nchini. Zungu...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, mpango wa kuwawezesha vijana kwa kuwapa ujuzi na mahitaji ya kuwawezesha kuanza shughuli za kilimo unakwenda kubadili hostoria ya Afrika. Kupitia mpango huu wa BBT...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kama Mwanachadema wa Kanda ya Kaskazini wa Chadema, naijua kanda hii vizuri – tumejenga imani ya wananchi kwa miaka mingi, tumevumilia mateso, na tumeendelea kuwa nguvu ya mabadiliko Nawakumbusha...
8 Reactions
39 Replies
614 Views
02 April 2026 Katika kipindi hiki cha Kivulini Talks, washiriki wamejadili juu ya hali ya vyombo vya habari Tanzania. https://m.youtube.com/watch?v=gRQFP4i8O_o Source :: the chanzo
1 Reactions
7 Replies
217 Views
  • Redirect
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Bi. Angellah Kizigha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.✍️ #KitengeUpdates
0 Reactions
Replies
Views
Amani iwe kwenu wachambuzi jadidifu. Ninaleta hoja kwenu ili tuelimishane ikibidi tukosoane ama kuwajibishana Wanasiasa wengi kama siyo wote, wamekuwa wakionesha matendo yao fulani fulani kwa...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom