Anjela Kizigha ni nani, Kwanini pamoja na lundo la kashfa bado anateuliwa Ubunge?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
142,099
Reaction score
285,816
Ama kwa hakika hii Nchi raia wake wanadharauliwa kuliko hata kinyesi cha binadamu

Pamoja na kashfa zenye ushahidi mwanana uliotukuka lakini Kizigha bado anateuliwa, Ni kama vile ccm haina watu wengine yaani!

Kaburi cha Wanamtandao kinatisha!

Nakulilia Tanganyika.
Ushost kwenye uongozi wa nchi, haya yote ni CCM wameyataka
 
Nchi imejifia hii, iko kwenye autopilot. Uyu ajuza kawaponza jinsia KE yote pamoja na mtoa mada kutaka kushika nafasi za juu kiungozi. Yan kuna wakati unahisi labda angekua mtanganyika japo na jinsia yake kidogo angeweza kuwa mzalendo.
 
Ama kwa hakika hii Nchi raia wake wanadharauliwa kuliko hata kinyesi cha binadamu

Pamoja na kashfa zenye ushahidi mwanana uliotukuka lakini Kizigha bado anateuliwa, Ni kama vile ccm haina watu wengine yaani!

Soma Pia: Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa

Kaburi cha Wanamtandao kinatisha!

Nakulilia Tanganyika.
Hivi mteuaji mwenyewe mnamweka kundi gani labda? Unategemea nini kutoka kwa mtu anayeua maelfu ya raia ili aendelee kubaki madarakani?
 
Ama kwa hakika hii Nchi raia wake wanadharauliwa kuliko hata kinyesi cha binadamu

Pamoja na kashfa zenye ushahidi mwanana uliotukuka lakini Kizigha bado anateuliwa, Ni kama vile ccm haina watu wengine yaani!

Soma Pia: Uteuzi/Utenguzi Aprili 2, 2026: Angela Kizigha ateuliwa kuwa Mbunge, Mkurugenzi EWURA atenguliwa

Kaburi cha Wanamtandao kinatisha!

Nakulilia Tanganyika.
Angela ni mtoto wa Charles Kizigha ambae alikuwa akiandikia habari za uchunguzi kwa gazeti la Daily News wakti huo.

Yule mzee alikuwa double……

Kuna ka-network alikuwa nako Yule mzee ‘chain of command” ni ndefu yagusa kuleee kuelekea pwani yenye upepo mwanana.
 
Back
Top Bottom