Habari za muda huu Wana Bodi na Great Thinkers wote,
Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Leo nimekuja na jambo ambalo linaendelea "chini ya kapeti" lakini lina athari...
RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi, 2026, alikutana...
Wanabodi,
Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake!
Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja...
NI LEO: HOTUBA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU 2026-2027
MUWASILISHAJI: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
MAHALI: Bungeni, Dodoma.
TAREHE: Aprili 1...
Ama kweli duniani kuna vituko na malimwengu ndio wahanga wa vituko,
Magenge ya uhalifu nchini yapo mengi sana, lakini hili la Lebanon limevuja rekodi,
Kama huyajui magenge yanayotisha/yenye...
Tafadhali, naomba msikate clip za mahojiano nusunusu kwa lengo la kupotosha maana na kuzua taharuki, ilhali nia ilikuwa ni njema kuomba Arena kwa faida ya tasnia nzima...kwanza kabisa 'sinaga'...
Kwanza ijulikane wazo la kuwapunguza wamasai wa Tafara ya Ngorongoro na kuwapelekea nje ya Ngorongoro lipo kitambo tangua enzi za JK, Ila hakikuwa na nguvu na msukumo, wakati huo wazo lilio kuwepo...
Wakuu,
Naona ndugu zetu washaanza kutoa milio huko 😂
Tuliwaambia waachane na siasa wasimame na wananchi wakakaza shingo. Sasa hivi wameshatumika wanatoa milio.
Malipo ni hapa hapa duniani...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeiandikia Umoja wa Afrika (AU) kikitoa wito wa kufanyika kwa mapitio ya haraka kuhusu uteuzi wa Jakaya Kikwete kama Mwakilishi wa Ngazi ya Juu wa...
Ni katika Salamu za Pasaka za mwaka huu wa 2026 Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema kwamba kwa sasa vijana hawana cha...
Kaandika huko mtandao wa X..
AFCON 2027 Itumike kudai haki Tanzania kwa kufanya maandamano ya kihistoria.
Siku ya ufunguzi wa Afcon Tanzania iwe ni siku ya maandamano makubwa zaidi ya yale ya...
Yangu ni hayo kwa Leo.
Chadema iko kwenye mioyo ya watu. NI IMANI THABITI NDANI yangu, ndani yako na wewe.
CHADEMA NI KAMA IMANI YA DINI, HUWEZI KUIUA.
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaendelea kuonyesha na kudhihirisha kuwa yeye ni chaguo la Mungu Aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu Mwenyewe...
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI), Rabia Abdalla Hamid amewasilisha salamu za pole za Chama kwa Algeria, kutokana na kifo...
Ndugu zangu Watanzania,
Spika wa Bunge Letu Tukufu Mheshimiwa Zungu Ameitisha Kikao cha Dharura kwa ajili ya kujadili Mwenendo Mzima wa hali ya upatikanaji wa Mafuta Nchini,bei ya mafuta na hatua...
Moja kwa Moja kwenye maada.
Kabla ya yote nadeclare interest, mimi Nangu Nyau mteja mzuri sana wa madada wauza papuchi aka wauza K aka makahaba.
Pamoja na heshima yangu kwenye mambo nyeti hili...
DIWANI AFARIKI DUNIA.
Diwani wa Viti Maalum wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, Semeni Musa Mtoka, alimefariki dunia leo Machi 31, 2026.
Marehemu Mtoka amefariki Dunua wakati alipokuwa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi 2026, alifanya mazungumzo katika Ikulu ya Dar es Salaam na wagombea wa vyama vya siasa waliowania nafasi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.