Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe, ameomba mwongozo kuahirishwa kwa Bunge ili kutoa nafasi ya Wabunge wote kujadili matukio ya utekaji watu yanayoendelea...
71 Reactions
734 Replies
84K Views
Wakuu, Ikulu wawekea post kuwa Rais Samia ameitikia wito wa wagombea nafasi ya Urais kwa vyama 16. Kwa maneno mengine ni kwamba hawa wagombea ndio wameomba mkutano na Rais Samia ili wajadili...
7 Reactions
42 Replies
826 Views
  • Redirect
Wakati mwingine mbunge ukikosa hoja ni bora ukakaa kimya. Kuwaambia wananchi wasiwe na mihemko ni tusi kubwa sana kwa wapiga kura. Mbunge ungetakiwa kuwafariji wananchi wakati huu serikali...
0 Reactions
Replies
Views
Mwenyekiti Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Yusuph Mwandami, mke wake, mtoto pamoja na dereva wao, wanahofiwa kufariki dunia baada ya gari walilokuwa...
7 Reactions
61 Replies
1K Views
Mwandishi wa habari nchini Uganda, Arnold Anthony Mukose, aliyeripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana mnamo Machi 29, 2026, amefikishwa mahakamani na kupelekwa gerezani kwa tuhuma za kutangaza...
0 Reactions
5 Replies
266 Views
Spika wa Bunge Mussa Azzan Zungu amesema kuwa Halmashauri zitakazobainika kuwa zilipuuza agizo la Serikali kununua dawa za malaria pamoja na kuwa zimepewa fedha, basi hatua kali zitachukuliwa...
0 Reactions
2 Replies
128 Views
Hii ni muhimu. Lazima kiandika historia ya CHADEMA kuweka kumbukumbu ya mapito waliyopitia.
3 Reactions
6 Replies
119 Views
  • Redirect
Wakuu, Njia iliyobaki kwa Rais Samia kuepuka kitanzi cha ICC na hasira ya wananchi kutokana na mauaji ya Oktoba 29, ni kuangusha lawama zote kwa vyombo vya ulinzi, kisha apishe kiti kuruhusu...
0 Reactions
Replies
Views
Taarifa njema Kwa wale wenye KADI za uanachama CCM na machawa, hakikisha una kadi yako ya CCM, Yani wewe ukifika tu sheli, chomoa KADI yako muoneshe muuza mafuta, basi atakuuzia mafuta kwa bei...
7 Reactions
12 Replies
212 Views
Ndugu Watanzania, Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi. Amekutana Na kufanya Mazungumzo na Mkuu wa Kanisa la Katoliki Duniani Papa Leo ndani...
1 Reactions
5 Replies
302 Views
https://www.youtube.com/watch?v=Ku1LCNIqQq8
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Ni wazi kwamba mkapa alitawala kama rais wa muungano kwa miaka kumi,kafatiwa na kikwete ambaye naye anatimiza kumi mwakani. Nikiwaangalia wanasiasa wa zanzibar hakuna hata mmoja mwenye nguvu bara...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Bajeti mpya ya ununuzi wa Binadamu imepangwa, lengo kuu ni kununua viongozi kadhaa wa Chadema ili kudanganya umma kwamba chama hicho kina mgogoro Sababu kuu ya kujaribu Ujinga huu ulioshindwa...
18 Reactions
27 Replies
1K Views
Wazee wa Busara na hekima akina Warioba, Bagonza, ( sijui kama kuna wengine) tumieni buaara na hekima zenu kumshawishi Samia amuachie Lisu apate matibabu. Butiku ameshakengeuka! Nani mwingine...
5 Reactions
40 Replies
913 Views
Habari za muda huu Wana Bodi na Great Thinkers wote, Natumai mko salama na mnaendelea na majukumu ya ujenzi wa Taifa. Leo nimekuja na jambo ambalo linaendelea "chini ya kapeti" lakini lina athari...
8 Reactions
11 Replies
489 Views
RAIS SAMIA AKUTANA NA WAGOMBEA URAIS WA TANZANIA BAADA YA UCHAGUZI MKUU WA 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe 31 Machi, 2026, alikutana...
6 Reactions
50 Replies
1K Views
Wanabodi, Saa hizi ni saa 12 :00 asubuhi, kumekucha na makucha yake! Siku ya leo, tarehe 21,leo ndio siku ya siku, imebatizwa jina la ”The Twenty First to remember!”, yaani ni ”Ishirini na moja...
52 Reactions
661 Replies
35K Views
NI LEO: HOTUBA YA BAJETI OFISI YA WAZIRI MKUU 2026-2027 MUWASILISHAJI: Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. MAHALI: Bungeni, Dodoma. TAREHE: Aprili 1...
0 Reactions
4 Replies
425 Views
Ama kweli duniani kuna vituko na malimwengu ndio wahanga wa vituko, Magenge ya uhalifu nchini yapo mengi sana, lakini hili la Lebanon limevuja rekodi, Kama huyajui magenge yanayotisha/yenye...
73 Reactions
493 Replies
99K Views
Back
Top Bottom