Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TEKNOLOJIA ITAKAVYOSAIDIA KUEPUSHA NAULI KUPANDA KWA WANAOTUMIA USAFIRI WA UMMA BEI YA MAFUTA IKIPANDA. Najaribu kuwaza miaka ya baadae jinsi teknolojia itakavyosaidia kuepusha nauli kupanda kwa...
0 Reactions
0 Replies
159 Views
Humphrey Polepole kwa kimywa chake alithobistishia umma wa Watanzania kuwa Angella Kizagha aliiba zaidi ya bil 60 kwa kulipwa malipo hewa . Malipo ambayo hayati Magufuli ambae hakufurahi juu ya...
20 Reactions
18 Replies
878 Views
Kuwamaliza siyo lazima ! You just starve them to death! Mnawahamisha kutoka huko Arabuni na kuja kukaa Tanganyika Muda utaongea!
0 Reactions
1 Replies
96 Views
TAARIFA KWA UMMA: KUSITISHA KWA MUDA LESENI YA HUDUMA YA UTANGAZAJI WA MAUDHUI MTANDAONI YA JAMBO ONLINE TV Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), inatoa taarifa kwa Umma kuwa, mnamo tarehe 31...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Hii ni dunia nzima na hata hapa kwetu Tanzania ni hivyohivyo.Chadema na CCM haviwezi kuelewana japo watu ni walewale. Hata Chadema wakichukua nchi tusijidanganye kwamba watatawala kuwasaidia...
0 Reactions
1 Replies
85 Views
Nchini kwetu tuna vitaru vingi vinavyozalisha gesi asilia kutoka mikoa ya kusini (lindi ,mtwara) na hiyo gesi inafaa kwa matumizi mbalimbali (domestic & economically) Je kwanini serikali...
7 Reactions
20 Replies
1K Views
Habari wanabodi Hebu msikilize huyu mtu anavyotamka hadharani kumdhuru waziri William Lukuvi. Inabidi akamatwe na kuhojiwa vizuri kwanini aliamua kumuondoa mzee wa watu kwa nguvu bila kufuata...
12 Reactions
97 Replies
2K Views
Kipekee sana nimekuwa na heshma kubwa na ukatoliki. Kama ilivyo kwa wakristo wengi, wengi wetu, kwa kiasi kikubwa malezi ya utotoni tumeyapatia katika kanisa katoliki, baadaye baadhi yetu...
5 Reactions
70 Replies
1K Views
Kwanza ieleweke sina furaha na maisha ya waafrika wote kwa ujumla. Siasa na uchumi wa Afrika si tu kwamba umetekwa bali umetekwa na watu wasiokuwa na sifa wala uwezo wa kufanya hivyo. Ulaya na...
4 Reactions
8 Replies
234 Views
Naona kila ambaye hataikii mapambio yanayoimbwa na machawa ya kwamba Mtu yule anaupiga mwingi ampaka anatoka nje ya uwanja basi Rungu la taasisi zake lazima lije juu ya kichwa chako chap kwa...
4 Reactions
5 Replies
235 Views
LUKUVI NA UBUNGE WA MIAKA ZAIDI YA 30 – INATOSHA! v "Lukuvi amehudumu miaka zaidi ya 30. BUNGENI! Tumemwona. Tumemsikia. Lakini sasa... INATOSHA!" William Lukuvi ni mmoja wa wanasiasa waliodumu...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Huduma ya choo ni miongoni mwa huduma muhimu kwa binadamu, hususan katika mazingira ya umma yenye mikusanyiko mikubwa ya watu. Huduma hiyo inapokosekana au kutolewa katika mazingira yasiyo na...
0 Reactions
3 Replies
213 Views
Huyu mtu ni mashine Anao uwezo wa kuwa waziri wa wizara hata tatu. Napendekeza apewe wizara ya madini, apewe mali asili na wizara ya fedha azichakate fedha vizuri. Kwa uwezo wake mkubwa kabisa...
8 Reactions
7 Replies
268 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Stephen Wasira amesema Chama kinapata maendeleo kutokana na ukubwa wake, kusimamia, ahadi na imani kubwa ya wananchi kwa Chama. Kauli...
3 Reactions
15 Replies
356 Views
Vita ya mashariki ya kati haiwezi kuwa kisingizio cha mafuta kupanda bei. Tunajua mmeagizwa na aliewateua kusema vita vita vita. Kwenye kila lita moja ya mafuta kuna kodi na tozo mbali mbali za...
1 Reactions
19 Replies
350 Views
Nauliza tu swali kufa kwa TISS je shida ni wenyewe au CCM?
11 Reactions
42 Replies
1K Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, amesema hivi sasa KKKT haisemwi vizuri kutokana na kupoteza ushuhuda wa kimatengenezo. Amesema...
3 Reactions
6 Replies
371 Views
Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na...
5 Reactions
38 Replies
978 Views
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Stephen Wasira, amewaonya wanachama walioanza harakati za kusaka urais mwaka 2030 kwa kuwa muda wa kufanya hivyo bado haujawadia...
3 Reactions
15 Replies
518 Views
Tanzania na nchi nyingi za ulimwengu huu zinategemea vyama vya siasa kuzalisha viongozi wa kitaifa Vyama vya siasa vina siasa ndani ya chama na vina siasa dhidi ya vyama vingine shindani hivyo...
12 Reactions
38 Replies
812 Views
Back
Top Bottom