Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,706
- 149,945
Naomba mods muache huu uzi kwa faida ya wenzetu wa EWURA.
Kwa nyinyi kukusanya maoni juu ya kuoingezea IPTL mkataba naamani mtakuwa mnafanya hivyo kwa mujibu wa sheria kwani bila shaka sheria inawataka mfanye hivyo baada ya kupokea maombi ya kampuni husika.
Naamini licha ya tuhuma lukuki zinazoikabili IPTL,nyinyi tuhuma hizo hamna mamlaka nazo maadamu wenye mamlaka hawajachuk
ua hatua hivo nyinyi kama EWURA inawabidi tu muichukulie IPTL kama kampuni isiyo na makandokando yoyote hata kama mnajua ina madudu hivyo inawabidi tu mtimize wajibu wenu wa kupokes maoni ya wananchi juu ya maombi ya kampuni hii kutaka kuongezewa leseni ya kuzalisha umeme.
Hata hivyo,tambieni hata TANESCO walifuata taratibu zote zilizowekwa za kupandisha bei ya umeme ikiwemo kuwashirikisha nyinyi EWURA kama wadhibiti kulingana na sheria inavyotaka na katika mchakato wote ule TANESCO waliachwa waendelee na huo mchakato mpaka pale bei mpya ya umeme ilipotangazwa.
Kwa mtazamo wangu,kama jinsi TANESCO walivyoachwa kuendelea na ule mchakato,ndivyo vivyo hata nyinyi mtaachwa na mchakato huu wa kuipatia leseni kampuni hii ya IPTL ili mwisho wa siku na nyie muingie mtegoni alafu wawageuke na wao wajizolee sifa za kisiasa
Sitashangaa pia wakaja na hoja ya kutaka kuifuta kabisa EWURA iwapo kwa mujibu wa sheria itakuwa vigumu kuwachukulia nyie hatua.
Mwenye macho haambiwi tazama.
Time will tell.