Youbettersleep
JF-Expert Member
- May 3, 2019
- 955
- 1,671
Kwa ufupi sana kipindi majanga yanatokea hapo mgodini MSASA GEITA nilikuwepo na niliona kila kitu hadi jioni inafika nilikuwepo kuangalia kila hatua iliendelea...
Itoshe kusema taarifa zilizotolewa na vyombo vya habari viliangalia mambo mengi sana hadi kusema hakukuwa na vifo, ila sisi tuliokuwepo hapo tunaona ni tofauti kidogo. Kwa hisabati ya kawaida wewe unaona walikuwa sawa?
NILIONDOKA KWA HASIRA SANA BAADA YA SIASA KUTAWALA PALE MGODINI.
Anyways waliofariki Mungu awape pumziko jema tu 🙏🙏🙏🙏