Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Miaka ya nyuma Bunge la bajeti lilikuwa moja ya vikao vikubwa vya kibunge ambavyo vilitoa mwanga na dira ya Taifa linapokwenda. Media zote macho yalitupwa bungeni na wabunge mahiri wote ndio ilikuwa kipindi chao.
Mwaka huu asilimia kubwa ya watu ukiwauliza tu ni wizara ngapi Hadi Sasa zimeshawasilisha bajeti hawajui.
Lakini kikubwa Ni pale hata TBC inapolipa bunge kipaomwisho na kuripoti habari za bunge wanavyojisikia au wakati ambao viongozi wa serikali hawatumii masafa.
Kwanini bunge limeshuka hadhi kwa kasi hivi?