Mbunge wa Pwani analalamika

Tardy

JF-Expert Member
Oct 31, 2021
1,287
1,604
Mbunge;
Kiwanda cha madawa ya mbu kimebaki MAHAME nini mpango wa serikali huku mkiagiza madawa ya mbu nje.

NW Viwanda mbunge muongo kiwanda kinafanya kazi.

Spika naagiza kamati ifike kiwandani kama ni mahame au kinafanya kazi.
Swali langu kama mbunge wa eneo husika haaminiki kamati ya siasa hawawezi kuthibitisha hilo kuliko matumizi mabaya ya kwenda kamati ya bunge?
 
Tulisha kubaliana kuwa hayo mazuzu yasitumbue kabisaa hatuna wabunge tulio wachagua sisi yakawa mazuzu.
 
Nchi ya kipumbavu sana, yani tumekosa kabisa mifumo ya kujua kama kiwanda kinafanya kinafanya kazi au akifanyi mpaka kamati iende kweli, uhu ni ulaji tu unatengenezwa.
 
Back
Top Bottom