Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
69
341
Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja.

Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi wanaofanya biashara pale Coco Beach.

Akiwa hapo ameeleza nia njema ya Serikali katika zoezi la kuwapanga wamachinga akieleza kwamba nia ni kufanya majiji yetu yawe katika usafi na mpango mzuri.

Hapo pia amesema kwamba tayari ameagiza watendaji husika kuanza mara moja ujenzi wa majengo mapya kwenye soko la Kariakoo, ambapo ujenzi huo utawezesha machinga zaidi ya 2,300 kupata nafasi nzuri ya kufanya biashara zao.

Amesema pia kuna mpango wa kujenga soko kubwa katika eneo la Jangwani.

Rais Samia amedhamiria kutekeleza zoezi la kuwapanga vizuri machinga katika namna yenye tija pana kwa nchi yetu.

FDWydgDVkAoXjET.jpg
 
Jangwani pale kwenye mafuriko ndio watajenga? au ni mpaka wameliza mradi wa Msimbazi basin ndio waje kwenye ishu ya soko Jangwani?

Na kariakoo ni eneo gani watajenga hayo majengo ya wamachinga? Pale palipoungua?

Tujiepushe na kauli tamu tamu zenye kuleta matumaini hewa.
 
Naona ameyakumbuka haya maneno

Hahaa bann
 
Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja.

Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi wanaofanya biashara pale Coco Beach.

Akiwa hapo ameeleza nia njema ya Serikali katika zoezi la kuwapanga wamachinga akieleza kwamba nia ni kufanya majiji yetu yawe katika usafi na mpango mzuri.

Hapo pia amesema kwamba tayari ameagiza watendaji husika kuanza mara moja ujenzi wa majengo mapya kwenye soko la Kariakoo, ambapo ujenzi huo utawezesha machinga zaidi ya 2,300 kupata nafasi nzuri ya kufanya biashara zao.

Amesema pia kuna mpango wa kujenga soko kubwa katika eneo la Jangwani.

Rais Samia amedhamiria kutekeleza zoezi la kuwapanga vizuri machinga katika namna yenye tija pana kwa nchi yetu.

View attachment 1998522
Wakajenge soko kubwa kwenye eneo hatarishi ?
 
samahani kidogo mleta mada, umemaanisha mama ni mkandarasi? au ni mfadhili???. hebu tuache hizi lugha za kitoto hakuna Raisi yeyote duniani ambaye analipwa mshahara kwa kodi za wananchi anaeweza kujenga kitu chochote labda michango ya kanisa au misikiti period.
 
Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja.

Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi wanaofanya biashara pale Coco Beach.

Akiwa hapo ameeleza nia njema ya Serikali katika zoezi la kuwapanga wamachinga akieleza kwamba nia ni kufanya majiji yetu yawe katika usafi na mpango mzuri.

Hapo pia amesema kwamba tayari ameagiza watendaji husika kuanza mara moja ujenzi wa majengo mapya kwenye soko la Kariakoo, ambapo ujenzi huo utawezesha machinga zaidi ya 2,300 kupata nafasi nzuri ya kufanya biashara zao.

Amesema pia kuna mpango wa kujenga soko kubwa katika eneo la Jangwani.

Rais Samia amedhamiria kutekeleza zoezi la kuwapanga vizuri machinga katika namna yenye tija pana kwa nchi yetu.

View attachment 1998522
Kulikuwa na haja gani kuwahamisha kabla ya kuwajengea.
Je, hali yao ya sasa watakula nini ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom