Tanesco Director General explains frequent power cuts
FRIDAY NOVEMBER 05 2021
A Tanzania Electric Supply Company (Tanesco) technician at work. Tanesco director general Maharage Chande has blamed...
Kuna watu wengi waliituhumu CHADEMA kwa kutokwenda mahakamani baada ya kuporwa uchaguzi Mkuu wa 2020. Cdm walisema baadhi ya taasisi za umma zilizoingiziwa uozo wa siasa chafu za ccm, ni pamoja na...
Kuna kada mmoja wa CCM amemponda Jenerali Ulimwengu kwa kueleza kwamba kupiga picha na viongozi waliopigania uhuru siyo sifa bali ni ushamba.
Niseme tu wakati ule kuwakaribia tu viongozi wa...
Vikwazo vya kiuchumi si tatizo Sana kwa bilionea Paul, vikwazo vya madaraka ni kikwazo kikubwa kufikia ndoto zake hapa Duniani. Upo mkwamo ndani yake na Hana budi kuvuka vinginevyo mkwamo huu...
Serikali wilaya ya Bukoba imetakiwa kufanya uchunguzi na kuwachukulia hatua wataalam na wakandarasi waliohusika kuisababishia hasara serikali ya milioni 590 kwa kutekeleza mradi wa maji wa Katale...
Waziri mkuu mh Majaliwa amewataka wakuu wa mikoa wote nchini na hasa wale wa mipakani kutozuia mbolea inayoingia nchini kwa sababu yoyote ile.
Mh Majaliwa amesema kuna uhaba wa mbolea na huu ni...
Inapotokea kikao cha Jumuia ya Afrika Mashariki kikahudhuriwa na Makamu wa Rais Mh. Samia Suluhu, halafu ikulu ikatoa taarifa kuwa ni Rais Magufuli ndiye alyeshiriki kikao hicho, Je, Hii si ishara...
"WATANZANIA HAWA WANATAKA MABADILIKO, WASIPOYAPATA CCM WATAYATAFUTA NJE YA CCM" JK. NYERERE....."LAZIMA CCM TUWAPE WATANZANIA MABADILIKO WAYATAKAYO ILI TUENDELEE KUONGOZA" Nnauye (mtoto wa kuli)...
Anaandika Mkt wa CCM mkoa wa Mwanza Dkt Antony Diallo,
MAFANIKIO YA HAYATI MWALIMU JULIUS KAMBARAGE NYERERE.
===
1. TAZARA (SGR ya kwanza Afrika Mashariki na kati) aliijenga na Mwenzie Kaunda...
Rais Samia Suluhu Hassan anapokea kifimbo cha malkia wa Uingereza Ikulu jijini Dar es salaam kuashiria uzinduzi wa michezo ya Jumuiya ya Madola.
Tukio liko mubashara TBC na Channel ten
---
Rais...
Kwanza nipende kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai, nimeshuhudia marais wa awamu zote 6, katika wote nilimkubali sana JK Nyerere na JPM.
Nikirejea kwenye mada, kufuatia alichokisema Mh Nappe...
Salaam Wakuu,
Leo tarehe 12/11/2021 anatarajiwa kusikilizwa shahidi mwingine katika muendelezo wa kesi Mwenyekiti wa CHEDEMA Freeman Mbowe.
Kujua jana kesi ilipoishia, soma: Kesi ndogo ya...
Mkurugenzi wa Mafunzo na Uratibu wa Kanda makao makuu ya Chadema, Bwana Benson Kigaila amewaambia mamia ya wakazi wa Singida waliokusanyika kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Pipoos Singida...
Hivi huyo Makamba anatugeuza Watanzania wote mazwazwa eti?!
Yaani mambio yooote yale ya yule msukuma Kalemani kabla hajafutwa tulipokuwa tunamuona huko Rufiji huku kazi zikiendelea eti leo...
Waghana wamesonga mbele sana Kitambulisho Chao Cha Taifa kinatumika Kama namba ya mlipa Kodi na Passport ya kusafiria .Kwa TIN namba ya kitambulisho Cha Taifa TRA wangeweza kuwa na walipa Kodi...
January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.
Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura...
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.
Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa...
Baada ya tafakuri ya muda mfupi, nimepata hisia kuwa hata kama wana uwezo mdogo, lakini sio wa kufanya makosa kama haya ya kiuandishi.
Hivyo, nahisi huenda baadhi yao hawafurahii haya...
Yaani mawakili wana mbwembwe wamempoteza dira shahidi sijui kama alielewa tena, baada ya ku nyanganywa kalamu yake na dairy pamoja na simu,: jamani haya yalimanisha nini, tuelezeeni haya maneno...