January Makamba, umeme umekatika mkoa wa Kilimanjaro masaa 6 hadi sasa

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
12,827
21,441
January Makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.

Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .

Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
 
Wengine wanaogopa kumtaja The Legendary maana akitajwa wanaogopa legency inaweza kuwa kubwa kuliko wao.

Yaani ni mwendo wa hofu ya kutotaja jina la asiyekuwepo au hata njia fulani aliyopita, ahahhaaaa!.
 
@Tanesko
hebu toeni details za matengenezo yanayofanyika na sisi mainjinia jamii tuwaelewe
 
Nimefika Moshi mjini jioni hii ni kweli hakuna umeme. Matengenezo ya njia nadhani yanaendelea na yataendelea hadi ije awamu nyingine.
Ubarikiwe, kwa kuwa mkweli. Ccm ukiwa mkweli wanakutafutia kesi ya uhujumu uchumi.
 
January makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.

Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .

Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.
Washa Mshumaa!!! Mbona kwa Magufuli mlikuwa hamsemi ulipokuwa ukikatika!!? Nakumbuka umeme ulikuwa ukikatika tunasema " Umeme wa viwanda huo" nilinunua mpaka jenereta ila hamkupiga kelele,,kwani sasa mna ajenda gani!!?
 
January makamba, eleza watanzania halisi, hakuna umeme Kilimanjaro sasa ni masaa sita tangu ukatike.

Usitegemee wananchi waishi gizani wapige kura kuchagua chama Tawala na hakuna wizi wa kura tena .

Uswahili ulisahaulika enzi za JK sasa usitegemee uswahili tena.

Wachagga rudini kwenu jamani,,,bongo kumewakataa.
 
The legendary wako anatusaidiaje kwa sasa katika haya matatizo ya umeme???
Kama unaweza muombe na mtolee sadaka ayamalize haya matatizo aliyoyaacha.

Back
Top Bottom