Sijajua safari hii CCM ikitaka kupasuka katikati nani atainusuru kwa sababu mzee Mkapa hayupo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,511
141,238
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
 
Wacha iyumbe na ipasuke Mungu alete njia pasipo na njia awaibue watu wapya kabisa waifikishe nchi yetu mbali.

Nyie CCM, Chadema,ACT wazalendo ni wanasiasa ambao mketuzoea sana wananchi kiasi kwamba mmegeuza wananchi kuwa wendawazimu wenu.

Ifike mahali Mungu mwenyewe atuondoe kwenye mikono yenu isiyo salama mmetuchosha sana.

Sasa hivi mfumuko wa Bei ni mkubwa ninyi mmeungana kuwa mnaongelea mambo yenu mnayofaidika nayo tu.

Hamtaki hata kusema wananchi mbali na mabadiliko ya Hali ya hewa na Tabia nchi hebu mrejeeni Mungu mvua zinyeshe mazao yapatikane.

Tunawaombea mpasuke tu
 
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
Mkuu hii yako ni ndoto CCM kamwe haitavurugika,
 
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
Fita ni fita mraa, mtajuana wenyewe
 
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
Mkapa ndiye pekee alikuwa na akili kwenye chama Cha Mazuzu
 
Kiukweli kwa sasa endapo CCM watavurugana sijui ni nani mwenye ubabe wa kulinyamazisha kundi lolote.

Wakati ule wa Lowasa kuelekea Ufipa ashukuriwe sana anko Ben vinginevyo chama kilikuwa kinapasuka.

Mungu wa mbinguni ilinde CCM isiyumbe kwa sababu ikiyumba na nchi itayumba!
Kwa Sasa sijaona mtu mwenye mabavu yakiuvunja CCM mpaka iathirike kiasi kama kile... Hakuna watu wenye nguvu kama walikuwa nazo Akina lowasa kwa wakati ule... Wakubwa wote ambao wanamisuri wengi umri ushaenda wapo Kando na wengi wanamsapoti mama, hakuna mwanasiasa mashuhuri kwa Sasa mwenye uwezo wakuivunja CCM vipande viwili
 
Labda!
 
Kuna Force mbili ndani ya CCM, moja ni for good ndio maana ulisikia mambo ya kujivua Gamba, na moja ni Evil Force iliyojaa Watu ambao wanaotaka kulirudisha Taifa enzi za Dark days za Kikomunisti.

Sisi kama Watanzania wapenda mabadiliko chanya tutaziunga mkono hizo good elements.
morganthink.png
 
Back
Top Bottom