Kinachotumaliza Tanzania ni tabia ya Viongozi wa Kisiasa Kutaka Makamu na Manaibu Wadhaifu kwa hofu ya Kufunikwa

Mtanke

JF-Expert Member
Nov 19, 2011
443
1,000
Angalia vyama vya siasa tofauti ya wenyeviti na Makamu wao, tofauti ya Makatibu Wakuu na Manaibu wao.

Mtu akiambiwa pendekeza Makamu analeta mtu weak eti asije kutaka kumpindua. Utapewa mitano ya akina Chacha Wangwe, Zitto, Jidu la Mabanbasi n.k

Hili liko hadi kwa viongozi wa Serikali wanataka Makamu dhaifu na Manaibu Wadhaifu kwa hofu ya kulinda viti vyao.

Kumbukeni kuna kufa na kuna kuumwa au kuwekwa jela n.k

Ngoja tuone je Magufuli nae alikuwa na Makamu wa namna gani? Japo kwenye bunge la katiba alifunika anaweza kuwa Iron Lady.

Mbowe Chama kimelala kwa hofu ya kuwa na Makamu strong. Akifungwa habari imeisha

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
 

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
9,604
2,000
Angalia vyama vya siasa tofauti ya wenyeviti na Makamu wao, tofauti ya Makatibu Wakuu na Manaibu wao...
Ngoja wanakuja soon wenye chama lao wakujibu.

Lakini ninachokiwaza ni kwamba, uteuzi wa Makamu siyo wa mtu binafsi
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom