Urio anaetajwa kwenye hii kesi ya Mbowe ni nani?

Shamkware

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
1,739
2,242
Ndugu wana jamvi nadhani kila mmoja wetu anafahamu juu ya Kesi kubwa na nzito inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freman Aikael Mbowe na wenzake watatu.

Mengi tumeyasikia kutoka kwenye kesi hii likiwemo Jina la huyu anae tajwa kuwa Urio, Je huyu Urio ni nani? na je alikuwa miongoni mwa washitakiwa au ni afisa wa Police?

Ni hayo tu waheshimiwa, Ngoja tuendelee kunywa mchuzi nyama zipo chini.
 
Huu unaoitwa kutaka kufanya mambo ya Ugadi kwa kukata miti barabarani! Hivi hizo miti kwenye barabara Tajwa iko mingapi na hawa wachache wangekuwa wanasafiria nini ili kutimiza azma hii kwa umbali fikirishi.
Mambo mengine yanaleta aibu kwa Taifa.
Je ni wapi tumeshindwa tu ni laana??
 
Unasemaje mkuu?
Ulisikiliza/kusoma ushahidi wa kwanza wa Adamoo na Ling'wenya (Walisema walipigwa na vitako vya bunduki kichwani huku wakiambiwa mkiwa wakaidi tutawatupa kama wenzenu ). Ambao walikuwa nao Tazara na Mbweni ila baada ya hapo hawajawaona tena mpaka walipoambiwa watatupwa kama wenzao. Tafakari. Serikali iwalete Lijenje na Urio. Na pia kila kituo walichokuwa wanapelekwa walikuwa wanaingizwa mahabusu kwa majina bandia hivyo huwezi kuwakuta katika register ya polisi popote pale Tanzania (unaona chezo hilo)
 
Hili taifa linapita kwenye kiza Nene Sana, majira yake yakifika Kuna watu watadaiwa roho za hao watu na hapo itakuwa ni kulipana kisasi Jambo ambalo sii jema hata kidogo. Wengefikishwa kwenye vyombo vya Sheria ili wajibu kwa majibu wa Sheria kuliko kuwaua. Ni hayo tuu
 
Inasikitisha sana. Mateso ya kina urio, ligenye, adamoo waliyopitia. Unawatesa watu ambao hawana hatia kabisa
 
Ndugu wana jamvi nadhani kila mmoja wetu anafahamu juu ya Kesi kubwa na nzito inayomkabili mwenyekiti wa Chadema Mheshimiwa Freman Aikael Mbowe na wenzake watatu.

Mengi tumeyasikia kutoka kwenye kesi hii likiwemo Jina la huyu anae tajwa kuwa Urio, Je huyu Urio ni nani? na je alikuwa miongoni mwa washitakiwa au ni afisa wa Police?

Ni hayo tu waheshimiwa, Ngoja tuendelee kunywa mchuzi nyama zipo chini.
Atakuwa ameshauliwa
 
Huu unaoitwa kutaka kufanya mambo ya Ugadi kwa kukata miti barabarani! Hivi hizo miti kwenye barabara Tajwa iko mingapi na hawa wachache wangekuwa wanasafiria nini ili kutimiza azma hii kwa umbali fikirishi.
Mambo mengine yanaleta aibu kwa Taifa.
Je ni wapi tumeshindwa tu ni laana??
#SSH anakwambia Machinga ndo wanaleta aibu na kuwaogopesha wageni
 
Refnant D. URIO au Luteni D. URIO hatujampata kumsikia tena tangia mara ya mwisho tuliposikia jina lake likitajwa kwenye ushahidi wa komando aliyeombewa kibari cha kutoka chomboni baada ya kupata tatizo la battle confusion (kutokuwa timamu kiakiri baada ya milio ya bunduki na mabomu uwanja wa vita) Adam Kasekwa.
 
Hili taifa linapita kwenye kiza Nene Sana, majira yake yakifika Kuna watu watadaiwa roho za hao watu na hapo itakuwa ni kulipana kisasi Jambo ambalo sii jema hata kidogo. Wengefikishwa kwenye vyombo vya Sheria ili wajibu kwa majibu wa Sheria kuliko kuwaua. Ni hayo tuu
Tatizo lililopo hivyo vyombo vya sheria ni matawi ya mti unaoitwa ccm.
 
Refnant D. URIO au Luteni D. URIO hatujampata kumsikia tena tangia mara ya mwisho tuliposikia jina lake likitajwa kwenye ushahidi wa komando aliyeombewa kibari cha kutoka chomboni baada ya kupata tatizo la battle confusion (kutokuwa timamu kiakiri baada ya milio ya bunduki na mabomu uwanja wa vita) Adam Kasekwa.

naamini Mungu atatenda haki juu ya hii kesi mungu awape nguvu familia zinazoumizwa na hili hakika watashinda
 
Back
Top Bottom