jitombashisho
JF-Expert Member
- Jun 11, 2020
- 667
- 2,242
Kikatiba endapo Rais aliyepo madarakani hapa Tanzania akifa makamu wake ndiye anatakiwa awe mkuu wa Nchi bila uchaguzi wowote kufanyika.
Jambo ambalo ni hatari mno na ni risk kwa mkuu wa Nchi awaye endapo tu msaidizi wake watakuwa na kuhitilafiana hali ambayo pengine kibinadamu inaweza kuleta athari na hatari kwa Taifa. Ndiyo, hatari kwa sababu msaidizi anaweza kula njama za kumuua bosi wake ili yeye awe Rais kwa sababu Katiba ya Nchi ndivyo inavyotamka.
Shime wanasheria wetu na wadau wote wa masuala ya kisheria hasa wanaharakati lipingine jambo hilo mahakamani kwa sababu madhara yake ni mengi kuliko faida.