Bungeni, Dodoma: Spika Ndugai ataka NIDA kuitwa na Kamati. Asema haifanyi vizuri

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri

Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 12 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"

Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji
 
Dah hii NIDA walimtoa Bwana MWAIMU aliekuwa mtaalamu wa IT Afrika na Dunia mwendazake akampa kesi ya utakatishaji fedha akamchukua jamaa yake kutoka ARDHI UNIVERSITY huyu jamaa anaitwa ANORLD MATHIAS KIHAULE (Huwa wanamwita mzee wa Mabegi) Aisee huyu mwamba alikuwa anaongoza idara ambayo imeikifanya chuo kiko hoi bin taabani. Wewe unategemea NIDA ataleta jambo jipya?
 
Dah hii NIDA walimtoa Bwana MWAIMU aliekuwa mtaalamu wa IT Afrika na Dunia mwendazake akampa kesi ya utakatishaji fedha akamchukua jamaa yake kutoka ARDHI UNIVERSITY huyu jamaa anaitwa ANARD KIHAULE (Huwa wanamwita mzee wa Mabegi) Aisee huyu mwamba alikuwa anaongoza idara ambayo imeikifanya chuo kiko hoi bin taabani. Wewe unategemea NIDA ataleta jambo jipya?
Duuuh
 
Mtu Kama alimchagua Sabaya kua DC, unadhani kichwa chake kitakuaje?
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri

Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 13 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"

Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji
mashine bila watalaamu ni kazi bure
 
Kwa kweli NIDA wanapwaya kwenye kila saizi...

Kuna jamaa yangu kitambulisho chake kimeisha muda wake miaka miwili sasa, pamoja na kukamilisha taratibu zote za kuhuisha kitambulisho ikiwemo malipo, bado haijulikani kitambulisho kitatoka lini.

Kuna tatizo la kufanya kazi kwa mazoea pale NIDA na zaidi sana elimu duni.
 
Spika wa Bunge, Job Ndugai ameitaka Kamati ya Ulinzi na Usalama kuiita Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA), akisema hawafanyi kazi
nzuri

Akizungumza leo katika Kikao cha Kwanza, Mkutano wa Tano wa Bunge la 13 amesema, "Ndiyo kazi yenu kupitia hizi Kamati, waiteni kieleweke. Tumeanza nao kitambo sana"

Aidha, Mbunge wa Makunduchi amehoji kwanini uzalishaji wa Vitambulisho umepungua kwa kiasi kikubwa licha ya NIDA kuomba mashine nyingine mbili za Uzalishaji

Uyu jamaa tangu afe Jiwe amekuwa jeuli sana
 
Dah hii NIDA walimtoa Bwana MWAIMU aliekuwa mtaalamu wa IT Afrika na Dunia mwendazake akampa kesi ya utakatishaji fedha akamchukua jamaa yake kutoka ARDHI UNIVERSITY huyu jamaa anaitwa ANARD KIHAULE (Huwa wanamwita mzee wa Mabegi) Aisee huyu mwamba alikuwa anaongoza idara ambayo imeikifanya chuo kiko hoi bin taabani. Wewe unategemea NIDA ataleta jambo jipya?

Jiwe Alikuwa Raisi Wa Hovyo Sanaa
 
Back
Top Bottom