Wanasiasa tendeni mema ili mkifa tuwasifie kwa mazuri

Lituye

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
1,862
5,679
Huwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.

Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.

By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.

Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.

Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?

Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
 
Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuoneo namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?

Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Wala hawajali
 
Sisi tutamkumbuka na kumsifia yule puppet wa wazungu aliekimbilia ulaya kuomba nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi na tufunguliwe kesi na yale mabeberu yaliokuwa yanaiba rasilimali zetu ili kwenda kujenga kwao Ulaya. Jamaa anawaabudu, anawa tetemekea na kuwaogopa sana wazungu akijua wanaweza kufanya lolote kwenye nchi yake mwenyewe.
 
Wanasiasa wanatenda mema mara baada ya kupumzika kutoka kwenye nafasi ya uongozi, ndiyo maana wengine wanaanzisha makanisa, wengine wanakuwa masheikh wa misikiti au watoa hutuba na mawaidha.

Vinginevyo hamna kitu hao watu.
 
Kwamba Magufuli alimtuma Sabaya aje akubake?
Sabaya mwenyewe ameiambia Mahakama kuwa alitumwa na Mamlaka ya utezi. Na kwa kuwa Mamlaka hiyo ilikuwepo wakati akifanya hayo na haikumchukulia hatua yeyote hakuna wa kupinga ukweli huo. Kwakuwa malalamiko juu ya ukatili wake yalitolewa na hayakufanyiwa kazi.
 
Huwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.

Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.

By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.

Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.

Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?

Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Ccm na VIONGOZI WAKE WANAFIKI SANA
 
Kumbe ulibakwa na Sabaya ?

Pole sana
 
Sisi tutamkumbuka na kumsifia yule puppet wa wazungu aliekimbilia ulaya kuomba nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi na tufunguliwe kesi na yale mabeberu yaliokuwa yanaiba rasilimali zetu ili kwenda kujenga kwao Ulaya. Jamaa anawaabudu, anawa tetemekea na kuwaogopa sana wazungu akijua wanaweza kufanya lolote kwenye nchi yake mwenyewe.
Musiba et al
 
Wanasiasa wanatenda mema mara baada ya kupumzika kutoka kwenye nafasi ya uongozi, ndiyo maana wengine wanaanzisha makanisa, wengine wanakuwa masheikh wa misikiti au watoa hutuba na mawaidha.

Vinginevyo hamna kitu hao watu.
Wanasiasa wa ccm na magenge yao ni hatari kuliko alishabaab
 
Huwezi mtuma mtu Kama Sabaya akateke watu, akabake wanawake, akapole Mali za watu na kuwatesa halafu eti ukifa wewe tukuseme ulikuwa mtu mzuri na sio jambazi Kama ulio kuwa unao watuma. Kama utaitwa shujaa basi ni shujaa wa motoni huko kuzimu.

Kuna watu wajinga wanasema eti mtu akifa asisemwe aachwe apumzike. Apumzike wakati amewapa watu Mateso makali bila hatia, wengine wamefungwa mpaka Sasa, wengine wameuawa, wengine wameteswa na kuwa walemavu, wengine wamefilisiwa Mali zao na kukata tamaa, huku wengine wapo magerezani kwa kesi za UGAIDI wa KUBUMBA halafu aliye sababisha Mateso haya aachwe apumzike tuu kijinga jinga tuu.

By the way Mahubiri wakati wa msiba huwa kwaajili ya walio hai ili wajifunze mema au mabaya ya aliye kufa, ukiona umeguswa na ujumbe huu na ulikuwa upande wa uovu inapaswa kutubu tuu na sio kununa haitakusaidia. Maandiko yapo wazi yakiseme Apandacho mtu ndicho atakacho vuna.

Huwezi kumsifia Maalim Seif Hamad Leo kuwa alikuwa mtu mzuri wakati umemtesa akiwa hai, umempora ushindi wake, ukapiga na kuuwa wanachama wake na yeye mwenyewe ukamfunga gerezani kwa kesi za Uhaini hewa.Na wakati huo huo unashadadia na kuwafunga akina Mbowe kwa Ugaidi hewa halafu unawaambia watu wajifunze kwa Maalim Seif Hamad.

Unatwambia tujifufenze kwa Maalim Seif ili tuone namna mlivyo mtesa na kumnyanyasa? Au namna mlivyo waua wanachama wake wasio na hatia? Tujifunze namna mlivyo chezea uchaguzi na kumpora ushindi? Au tujifufenze jinsi mlivyo mfunga gerezani kwa Uhaini hewa?CCM na akina Kingai na Mahita Mnatuonaje yaani kuwa sisi ni mazuzu?

Huu ni wakati wa kuidai KATIBA mpya ya wananchi na lazima ipatikane mpende msipende bandugu. Sisi wazalendo tutaendelea kusema ukweli tena kwa kauli mbiu ile Ile jamaa alikuwa akiitumia,kuwa Watanganyika lazima tuambiane ukwerii na msema kweriii ni mpenzi wa Mungu. Au nasema uongo jamani.
CC.Hangaya.
Malipo ni hapa hapa duniani
 
Sisi tutamkumbuka na kumsifia yule puppet wa wazungu aliekimbilia ulaya kuomba nchi yetu inyimwe misaada, iwekewe vikwazo vya kiuchumi na tufunguliwe kesi na yale mabeberu yaliokuwa yanaiba rasilimali zetu ili kwenda kujenga kwao Ulaya. Jamaa anawaabudu, anawa tetemekea na kuwaogopa sana wazungu akijua wanaweza kufanya lolote kwenye nchi yake mwenyewe.
Hujapata like hata ya ccm wenzako.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom