Yanayojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Status
Not open for further replies.

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,696
218,216
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani .

Jaribio la Kishamba lililopangwa na Polisi la kuzuia watu kuingia Mahakamani limeshindwa , nguvu ya umma imeshinda .

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========
 
Hii kesi ngumusana hii maana kila mtu anataka kujua itaishaje.
 
lazima tujifunze kuwa kazi ya mahakama ni kutoa Haki, lakini HAKI inaweza kuwa kufungwa jela pia HAKI inaweza ikawa kuachiwa huru.
Hivyo yatupasa tuelewe na tukubali kuwa hayo yote Mawili yaani;

1. KUFUNGWA JELA AU
2. KUACHIWA HURU

Yote hayo ni HAKI.

Tusijidanganye tukidhani Haki ni kuachiwa huru tu halafu tukajisahalisha kuwa kumbe Haki inaweza kuwa kifungo jela.
 
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========
Mbona leo hujaweka kale "kanyuzi alert" kekundu?
 
Picha_mbalimbali_Kutoka_ndani_ya_Chumba_cha_Mahakama_muda_huu..jpg
 
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani .

Jaribio la Kishamba lililopangwa na Polisi la kuzuia watu kuingia Mahakamani limeshindwa , nguvu ya umma imeshinda .

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========
Gaidi linazeeka vibaya walifunge miaka 50jela liwe fundisho kwa wengine
 
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani .

Jaribio la Kishamba lililopangwa na Polisi la kuzuia watu kuingia Mahakamani limeshindwa , nguvu ya umma imeshinda .

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========

Nguvu ya umma haijawahi kushindwa popote na kwa lolote.

Nguvu moja tutashinda.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom